gubwe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 299
- 132
Yani umehama bila kumla hata mara moj?
😀😀😀😀aiseeeHuu mrejesho ungebaki nao tu
Tupo wengi sana sema hatuna promoUnataka niaminije. Kama na wa ni mmoja wapo hongera
MhmhhhHamna Cajojo ni kawaida tu ukiwa unaheshimu nakujali wengne
Mimi ni mzee na sio kijana....we kula ujana wako vizuri usikosee uzee ni mwendo wa fainaliMkuu umeguna naona vipi nakosea kijana mwenzako?
Haha..unaweza kuta hajamla, ila tamaa tu inamwendesha, labda kakorofishana na mumewe anatafuta faraja kwa jamaa. Jamaa angeingia mkenge huenda angejikuta anabobea kula wake za watu, mwisho wake ukawa mbayaInaonekana ushamla tiyar,sio kwa kukusumbua hivyo
aiseeehYani umehama bila kumla hata mara moj?
tuko wachacheMpo wachache kwenye hii sayari
Ndio wanaume wa Dar walivyo,wala hatushangaiYani umehama bila kumla hata mara moj?
Vijana wa siku hizi utawaweza .....mwanaume analetewa mbunye anaikataa na anakuja kuanzisha uzi...hatakiwi kuona kitu cha ajabu au kinahitaji attention hivi kwa kukataa kama alikua ana nia nzuri ....boys game not menSafi umeonyesha heshima na kuheshimu ndoa ya watu