Mrejesho kuhusu mke wa mpangaji mwenzangu

Mrejesho kuhusu mke wa mpangaji mwenzangu

Vijana wa siku hizi utawaweza .....mwanaume analetewa mbunye anaikataa na anakuja kuanzisha uzi...hatakiwi kuona kitu cha ajabu au kinahitaji attention hivi kwa kukataa kama alikua ana nia nzuri ....boys game not men
Inawezekana ameeleta kama somo wengine wajifunze.
 
Sasa kama huna nguvu za kiume si ungemwambia tu?
 
mkuu umefanya vzr achana ushauri usiokuwa na maana jali nafsi ya maisha yako tamaa ya mapenzi mwisho wake mbaya, watu wameuwawa kurogwa kwa ajili ya wake za watu
 
mkuu umefanya vzr achana ushauri usiokuwa na maana jali nafsi ya maisha yako tamaa ya mapenzi mwisho wake mbaya, watu wameuwawa kurogwa kwa ajili ya wake za watu
Hapo kwenye kurogwa mkuu pana asilimia kubwa sana maana mke anauma naelewa
 
Wiki kadhaa zilizopita nilileta uzi humu kuomba ushauri kuhusu tabia ya mke wa mpangaji mwenzangu
Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu - JamiiForums

Nimefanikisha kuhama hapa nilipokuwa nakaa japo nilibakisha kodi ya kama miezi mitatu lakini kwa usalama wangu niliona nifanye hivyo

Kwani huyu mke wa mpangaji mwenzangu alifika hatua mbaya akawa analazimisha tuwe wapenzi na hajali kuhusu mume wake na yupo tayari kuachana nae kwani hana mapenzi naye

Tangu nimehamia huku nimekata mawasiliano nae na nimemblock japo alijaribu kunipigia kwa namba mpya nilipogundua ni yeye nilikata na sikupokea tena akatuma meseji ndefu akilalamika kwanini nilihama bila kumjulisha ni wapi nimehamia lakini sikumjibu chochote

Sasa nipo na amani nashukuru sana kwa wote mlionishauri sahihi kumaliza tatizo langu
hongera padri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom