Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,028
Hapana, tupo wengi sana.Mpo wachache kwenye hii sayari
Hapana, tupo wengi sana.Mpo wachache kwenye hii sayari
Kabisa.... lakini pia ni umri fulani hivi huo! mambo hayo ni ya kina ZERO IQ wakongwe.Mpo wachache kwenye hii sayari
Pamoja MkuuHuku nilipo sasa kwakweli nashukuru mungu sijakumbana na mambo hayo
mabaharia wa dar utawaweza?Yani umehama bila kumla hata mara moj?