Mrejesho kuhusu mke wa mpangaji mwenzangu

Mrejesho kuhusu mke wa mpangaji mwenzangu

Wiki kadhaa zilizopita nilileta uzi humu kuomba ushauri kuhusu tai nilihama bila kumjulisha ni wapi nimehamia lakini sikumjibu chochote

Sasa nipo na amani nashukuru sana kwa wote mlionishauri sahihi kumaliza tatizo langu
mkuu si kuhusu yule manz wa kitanga mwenye mme fundi ujenzi? siamini kama umehama bila kuonja hata mara moja
 
Write your reply... kamwe usiziendekeze tamaa pongezi kwako ujui lengo lake haswa ni nin ungeweza kufanya hvyo atakavyo na ikakugharimu maishani mwako inabidi tufike mahali tamaa zisituendeshe wapo ambao kisa tamaa/ulafi wa mapenzi umewapa mengi magonjwa,mikosi na wengine hata kutumika kishirikina na n rahisi sana kwa mwanamke kutekeleza hilo kwa mwanaume kwa 7b kwa asilimia kubwa wanaume tuna tamaa na ni wachache sana wanaweza kuliepuka jambo kama ili elewa kuwa kuna positive&negative effects/impacts kabla ujajutia ni vyema sana kufikiria jambo husika
 
Nikupe hongera sana kijana mwenzangu umekimbia majaribu ya shetani

Usiangalie nyuma tena
 
Embu lete hiyo namba naona kuna majukumu mazito ambayo vijana kama nyinyi hamuyawezi tuwasaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom