pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,900
- 9,625
Mimi mmoja wao
Mpo wachache kwenye hii sayari
Mimi mmoja wao
Mpo wachache kwenye hii sayari
Ni jambo la kuigwa kwakweli
Ameyanusuru marinda yake kuliko ajifanye baharia mpambanaji mwisho atatuliwe marinda.Nani aige huo ni ushoga
Wako wawili tu itakuwaMpo wachache kwenye hii sayari
Maana yake alimla halafu ndio akahamia upande mwingineUnataka niaminije. Kama na wa ni mmoja wapo hongera
Safi...Nguvu ninazo mkuu za kutosha lakini si kwa wake za watu