Mrejesho: Hivi ninaweza nikawa sijafika kileleni?

samahani kidogo nimeona umemshirikisha Mungu, naomba nikuulize je huyu uliempata sasa hivi ni mumeo kabisa au mnazini,
vinginevyo kumshirikisha Mungu kwenye uzinzi sio sahihi
akikijibu naomba unitag
 
wakuu naoenda kuwashukuru wana jf wote kwa michango yenu,hakika imekuwa msaada kwangu.

Hivi karibuni nilileta bandiko hapa,nikiuliza kama mm nilishawahi kufika kileleni,hii ni kutokana na experience walokuwa nananipa wwnzangu na Mimi kujiona sijawahi kugia.

Namshukuru mungu kwa Mara ya kwanza katika Maisha yangu,nimeweza kufurahia mahusiano yangu,nikimaanisha kwa Mara ya kwanza nimeweza kufika kileleni.

nawashukuru wore mlionipa ushauri,hapa jukwaani na pm pia mungu awabariki ,hakika nilikuwa nakosa kitu muhimu pia namshukuru mungu kwa kunipa MTU ninayeamini ni sahihi kwangu.

Mwisho kabisa naomba niwape ushuhuda kwamba kumfikisha Mwanamke si lazima mwanaume awe na ndefu,hata kibamia kinaweza.mfano mzuri ni MTU nilokuwanae alikuwa na ndefu lakini hakuwahi nifikisha,ila huyu nilompata ni kibamia lakini ananifikisha na sitegemei kumuacha.

Hakyamama leo naona zari limeviangukia vibamia...

Hii naweza kuiita "Bamia Day"
 
Basi sawa...lakini bado kuna kingine una miss,siku ukikipata utapatie mrejesho.
 
na ukitaka kuinjoy mapenz mpate kibamia, ukipata ndefu utakua unaumia tuu! Hamna ata raha!
 
Ahsante kwa mrejesho. Ukishashuka huko kileleni nishtue nina kazawadi kako, angalau Leo kibamia kimetamba.
 
Bamia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee/!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi nadhani mbinu aliyotumia aliyekugegeda nikuweka miguu yako begani na akaikandamiza mabegani mwako huku ukiwa umelala chali,hakika kama huyo uliyenaye anatumia hii staili basi hiyo itakua ni the reason behind kufika unapofika.
 
Vibamia Hoyeeeeee!!
Mtoto Kafika Kibo Na Mawenzi Hataki Skia Hogo.
 
Wakuu,

Napenda kuwashukuru wana JF,

Wote kwa michango yenu, hakika imekuwa msaada kwangu. Hivi karibuni nilileta bandiko hapa nikiuliza kama mimi nilishawahi kufika kileleni;
Hivi inawezekana nikawa sijawahi kufika kileleni?

Hii ni kutokana na experience waliokuwa wananipa wenzangu na mimi kujiona sijawahi kuingia. Namshukuru Mungu kwa Mara ya kwanza katika Maisha yangu, nimeweza kufurahia mahusiano yangu, nikimaanisha kwa Mara ya kwanza nimeweza kufika kileleni. Nawashukuru wote mlionipa ushauri, hapa jukwaani na pm pia Mungu awabariki, hakika nilikuwa nakosa kitu muhimu pia namshukuru Mungu kwa kunipa mtu ninayeamini ni sahihi kwangu.

Mwisho kabisa naomba niwape ushuhuda kwamba kumfikisha mwanamke si lazima mwanaume awe na ndefu, hata kibamia kinaweza, mfano mzuri ni mtu nilokuwa nae alikuwa na ndefu lakini hakuwahi nifikisha, ila huyu nilompata ni kibamia lakini ananifikisha na sitegemei kumuacha.
hongera..
 
Kwahili ulilolizungumza Team kibamia tuna mpango wa kukupa cheo cha katibu itikadi uenezi.. tunashukuru sana kwa mchango wako..
 
Wakuu,

Napenda kuwashukuru wana JF,

Wote kwa michango yenu, hakika imekuwa msaada kwangu. Hivi karibuni nilileta bandiko hapa nikiuliza kama mimi nilishawahi kufika kileleni;
https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-inawezekana-nikawa-sijawahi-kufika-kileleni.1178503/
Hivi inawezekana nikawa sijawahi kufika kileleni?

Hii ni kutokana na experience waliokuwa wananipa wenzangu na mimi kujiona sijawahi kuingia. Namshukuru Mungu kwa Mara ya kwanza katika Maisha yangu, nimeweza kufurahia mahusiano yangu, nikimaanisha kwa Mara ya kwanza nimeweza kufika kileleni. Nawashukuru wote mlionipa ushauri, hapa jukwaani na pm pia Mungu awabariki, hakika nilikuwa nakosa kitu muhimu pia namshukuru Mungu kwa kunipa mtu ninayeamini ni sahihi kwangu.

Mwisho kabisa naomba niwape ushuhuda kwamba kumfikisha mwanamke si lazima mwanaume awe na ndefu, hata kibamia kinaweza, mfano mzuri ni mtu nilokuwa nae alikuwa na ndefu lakini hakuwahi nifikisha, ila huyu nilompata ni kibamia lakini ananifikisha na sitegemei kumuacha.

Picha plz dada [emoji12]
 
Back
Top Bottom