Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Samahani..hivi ww@Toplemon ni mwanamke au mwanaume
Imekupenda, ngozi hizi zinatofautiana sanasijutii kupaka parachute nimekuwa na ngozi km mtoto mchang very soft alf haters wakiulza napaka nini nikiwmbia parachute wanasema nawadangnya
Bei gan hiyoooooMko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aaJamani nisaidieni ipi lotion au mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwawww.jamiiforums.com
Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine
Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
Zipo mjini tele maduka ya vipodoziHizo sabuni zinapatkana wapi?na hiyo lotion pesa ngapi?
shit! unanikosea sana kiongozi
Ndio hio body creamNgoja nikatafute hivi cream s ndo zile za kopo la elfu 7 eeh
Alafu unasema wewe sio shogaCaro light huwa hainipendez wala hainipi matokeo hata tone
Alafu unasema wewe sio shoga
Kwa mfano View attachment 1092593
Sikumbuki ,lakin Unaweza jaribu brand ya AHAA originalRangi yoyote inafaa mtu?
Je mwenye mafuta usoni
Hiyo package ni sh ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumbuki ,lakin Unaweza jaribu brand ya AHAA original View attachment 1457959