Mrejesho:Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Vera ginger

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
525
Points
500
Vera ginger

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
525 500
Kwenye ule uxi mbona hakuna comment iliyoandikwa utumie hiyo perfect White.. Wewe wewe wewe wewe endelea na hayo madude yako uwe na ngozi kama chapati
Nami nimejiuliza hapa mweeeh
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
15,518
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
15,518 2,000
Samahani..hivi ww@Toplemon ni mwanamke au mwanaume
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
37,157
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
37,157 2,000
sijutii kupaka parachute nimekuwa na ngozi km mtoto mchang very soft alf haters wakiulza napaka nini nikiwmbia parachute wanasema nawadangnya
Imekupenda, ngozi hizi zinatofautiana sana
 
F

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
646
Points
500
F

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2019
646 500
Hata Jina Lako Linasapotii
 
E

Elijah moses

Member
Joined
Jun 14, 2019
Messages
5
Points
20
E

Elijah moses

Member
Joined Jun 14, 2019
5 20
Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aa
Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine
Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
Bei gan hiyooooo
 

Forum statistics

Threads 1,306,412
Members 502,074
Posts 31,579,616
Top