Mrejesho:Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,641
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,641 2,000
Mko poa?
Weekend inaenda poa sana huku nilipo
Mambo yamekua mengi muda mchache
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusu lotion gani nzuri nipake niweze kung'aa yaani ya kung'arisha ngozi
Rejea uzi huu
nilishauriwa sana nikahangaika wee mwisho wa siku nimeipata hii inaitwa Perfect white ni nzuri balaa week moja tu nilianza kuona changes week ya pili nikang'aa

Sasa hv nimeitumia km week kadhaa hivi kiukweli nimeng'aa vizur sana rangi nzuri ya maji kunde Nani asiyetaka kupendeza?
Nilishauriwa nijaribu caro light,carotone,dodo lakin nikagundua zimepigwa marufuku na Tfda na pia zina hydroquinine

Kwahiyo sasa hivi napaka hii perfect white tu
ILA:Sitangazi biashara isije ikaambiwa natangaza biashara maana hamkawii kusema nimeleta tu mrejesho baada ya kuuliza sana na kuhangaika sana humu kuuliza ni vizuri tulete mrejesho.
Mambo ni mareshi
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,120
Points
2,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,120 2,000
Uzi bila picha haunogi kabisaaaa
ni kama maji bila kahawa useme unakunywa kahawa
 
RUJEINER

RUJEINER

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Messages
108
Points
250
RUJEINER

RUJEINER

Senior Member
Joined Jan 18, 2018
108 250
Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,318
Points
2,000
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,318 2,000
Mimi natumia perfect white lotion na sabuni wako vizuri
Nikitumia full set nakua kama kina jojo
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,641
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,641 2,000
Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu, pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Caro light huwa hainipendez wala hainipi matokeo hata tone
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,184
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,184 2,000
Jina tu la hiyo lotion linajieleza kua ni ya kuchubua 'perfect white',

Hapo bado hatujalichambua jina la mtoa mada,
Lol
Kuna dada ameharibikaaaaaaa kisa hayo macream yao, ngoja vije vianze kumchachia atarudi humu kuomba ushauri.
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,184
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,184 2,000
Ukisema utaitwa Hater,
lol.
Hiyo ni cream tena ina makemikali hatari, nimemuona alieharibika hivyo kama ni hate basi waendelee tu. Muda utaamua.
Hivi kwanini lakini watu wanahangaika sana kuziharibu ngozi zao nzuriii.
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
6,749
Points
2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
6,749 2,000
Hiyo ni cream tena ina makemikali hatari, nimemuona alieharibika hivyo kama ni hate basi waendelee tu. Muda utaamua.
Hivi kwanini lakini watu wanahangaika sana kuziharibu ngozi zao nzuriii.
Wameaminishwa weupe ndio uzuri,
akili zao zimefungwa
 
Forum statistics

Threads 1,304,544
Members 501,326
Posts 31,517,971
Top