Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Udsm ndo umepaona pa ukwee?Kwamba wewe unajua latino ama make mkifika udsm hamkawii kujiita wakina camira na selgado!
Udsm ndo umepaona pa ukwee?Kwamba wewe unajua latino ama make mkifika udsm hamkawii kujiita wakina camira na selgado!
Udsm ndo umepaona pa ukwee?
Ndoto njema!vijana wa siku hizi mko nyenyenye sanaa, kutongoza tu tabu, we na akili zako timamu umekosa mwanamke sehemu zoooote hizompaka uje kubandika tangazo mtandaoni halafu utegemee kumpata mwanamke wa "ndoto"?...kaza domo hilo kijana, ukendelea kuwa legelege hivi hata ukiowa utasaidiwa tu kumvua chupi mkeo!
Ndoto njema!
mfyuuuuuuu
Siyo mzee nina maono bado ndoto nyie wazee!endelea kuota huyo perfect one utampata!
Pole sana kijana.....Udsm! Ndo wengi wakifika mjini unawapoteza wanadhani wamemaliza dunia kumbe no!
Pole sana kijana.....
Yaan wewe
Basi kakojoe ulale....Sina maumivu...!
Basi kakojoe ulale....
Basi kakojoe ulale....
Lost...!