Una matatizo yako tu,mara hwaqualify, mara wanaoverqualify....dafuq?!! Unatafuta the perfect one eeh? kama kanisani kwako kote hawaqualify, mtaani kwenu hawaqualify, kazini kwenu hawaqualify, kijijini kwenu hawaqualify, haujishtukii tu unakuja kutoapovu jf?!! Kaza domo hilo mtoto wa kiume,hakunaga perfect woman ambaye anafit criteria zako, lazima umtengeneze, siyo ukutane naye tu kwenye mitandao awe perfect kwa kadri unavyomtaka, jf ni jamii kuna watu wa aina nyingi, kujumuisha wadada wa jf hawafai ni kujionesha tu uelewa wako ulivyo mdogo!