Mrejesho baada ya kusearch muda wa mwaka mmoja JF

Mrejesho baada ya kusearch muda wa mwaka mmoja JF

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Bila hiana napenda kuleta mrejesho ila kuthihirisha tabia ya mtume mwema!

Ni takribani mwaka sasa baada ya kupitisha mabango yapatayo mawili kutangaza kumsaka mwenzangu nisiye mjua kwa kudhani labda yupo jf natoa taarifa kuwa sikuweza kumpata humu!

Japo walijitokeza wengi huku kila mmoja akiwa tabia zake, cwachache walionekana kuoverqualify huku wengi wakikosa vigezo hasa vya kijamii.

ANGALIZO:

Wengi wa wanawake wa humu jf ni wake za watu pili they are in relation(michepuko) na tatu most if them ni maharddesire, wenda baada ya kuwa wamekubuhu kwenye relationship and they are desperate.

Hitimisho:

Jamii ni bora kwa wapenda michepuko ila ujue ni kula nikule! Natangaza kuhamishia mbio za kusaka mwenzangu kanisani.
 
Kama unashindwa kuwapata unaowaona kwa macho je vipi kwa usiowaona?
 
Acha ushamba wewe wa humu JF ndo wa huko huko mtaani kwenu waliokushindwa
Wanakukimbia utakua huna hela na sura yako mbaya(#samahanilakini)
 
tatizo watu wa humu jf kiuhalisia wako tofauti na wanavyopretend to be sasa ukija kukutana nae unakuta either ameoverqualify au ameunderqualify
 
I
Acha ushamba wewe wa humu JF ndo wa huko huko mtaani kwenu waliokushindwa
Wanakukimbia utakua huna hela na sura yako mbaya(#samahanilakini)

Hela za nini mimi situmii pesa maana sina mandazi mdomoni tatizo hawakidhi haja mja ndiyo maana nimekuja kunena!
 
Hivi kumbe mnaokuja humu kutafta huwa mko serious? mi nilijua utani tu kujifurahisha.Sasa unataka kuniambia wako ambao washakula mizigo kupitia JF? @
 
Aisee, anyway kila sehemu kuna watu wa kila aina. Usitegemee sana kuwa kanisani kenge hawamo kwenye mamba wale. U can be disappointed a lot bro, muombe sana Mungu.
 
Hivi kumbe mnaokuja humu kutafta huwa mko serious? mi nilijua utani tu kujifurahisha.Sasa unataka kuniambia wako ambao washakula mizigo kupitia JF? @

Braza mchepuko unapata kabisa shida wife material! Mchepuko simple kupata humu.
 
Acha ushamba wewe wa humu JF ndo wa huko huko mtaani kwenu waliokushindwa
Wanakukimbia utakua huna hela na sura yako mbaya(#samahanilakini)

Mwenyewe umethibitisha ya mtoa mada kua hawafai. Maana kama wanataka wenye sura nzuri tu na wenye pesa hawafai. Hiyo ni jamii ya wapi ambapo watu wote wana sura nzuri na wana pesa?
 
Mwenyewe umethibitisha ya mtoa mada kua hawafai. Maana kama wanataka wenye sura nzuri tu na wenye pesa hawafai. Hiyo ni jamii ya wapi ambapo watu wote wana sura nzuri na wana pesa?

Umeonaaaah! Humu wengu magumegume na magubegube na vingine vigumegume na vigubegube! Na manisha ni wake za watu na waume za watu wengi. Na wengine wako kwenye mahusiano ila kutoridhika na mitaa isiyo na mwisho wanajiuza humu jamii jiujanja ujanja utawajua tu vikomenti vya kichokozi kuolewa awataki ingawa wanatamani. Ni shida na matatizo. Fuatilia comment zao utawajua tu.
 
mi yangentokea puani nilimpenda moderator flani daaaah!!! kuna anawatoto mbwa anafuuu!!!
 
mbaya zaidi ukitoa bango la kuhitaji mke utaona wanajitokeza kukuinjoy kumbe ni wake za watu id ndo zinasitiri watu humu..

JF vituko havitaisha kamwe
 
Back
Top Bottom