Mbona hamuongelei wizi wake pia? au hiyo miradi anayo-lobby imewafaidisha nyie huko Rombo mkasau kuna sehemu nyingine zilihitaji pia na alitumia madaraka ya uwaziri wake vibaya kujifaidisha mwenewe akiwa kiongozi wa kitaifa! US$ 10 mio. ziko wapi?
Ndo maana watu wanaposema usimpe mchagga nchi huwa wana-point maana swala ni kuwa ni vp amesaidia kwako ambapo ni kwake pia na sio ameiumiza hii nchi kiasi gani? katika utawala huo uliotukuka kwako wewe kama Mrombo acha ubinafsi huyu jamaa anatakiwa awakilishe Warombo Segerea au Keko na si kuwakilisha watu bungeni!Mkuu, nadhani huu mjadala uko katika level ya wilaya kama mbunge. Kama mbunge wa rombo hana kashfa katika level hiyo.
Lakini tukimu-assess kama waziri wa nchi then hapo ndo hizo kashfa zinakuja which are well known na zimekuwa zikijadiliwa sana.
Kwa kuwa tunajadili swala la ubunge na katika level ya wilaya, i would rather stick to that kuliko kuchanganya mambo then at the end of the day tunakosa mwelekeo wa mada as some of the threads would end.
Hivyo kama alipromis kufanya kitu fulani, akatekeleza, na kama katika utekelezaji huo aliibia/idanganya serikali at the level ya taifa, sisi huku rombo (at the level of wilaya) haituhusu. Our performance measurement was based on the promises he made. How those promises were implemented is not realy our prime concern. The concern iko kwa yale tuliyomtuma kama kayafanikisha basi.
Hizo fitu nyingine tutajadili kama taifa ie nini kalifanyia taifa. Remember kila mbunge yuko answerable to his people yaani wa lile jimbo analoliongoza moja kwa moja. Swala la utaifa linakuja baadae na hasa pale anapopewa jukumu la kushughulikia taifa kama la uwaziri.
Mkuu, nadhani huu mjadala uko katika level ya wilaya kama mbunge. Kama mbunge wa rombo hana kashfa katika level hiyo.
Lakini tukimu-assess kama waziri wa nchi then hapo ndo hizo kashfa zinakuja which are well known na zimekuwa zikijadiliwa sana.
Kwa kuwa tunajadili swala la ubunge na katika level ya wilaya, i would rather stick to that kuliko kuchanganya mambo then at the end of the day tunakosa mwelekeo wa mada as some of the threads would end.
Hivyo kama alipromis kufanya kitu fulani, akatekeleza, na kama katika utekelezaji huo aliibia/idanganya serikali at the level ya taifa, sisi huku rombo (at the level of wilaya) haituhusu. Our performance measurement was based on the promises he made. How those promises were implemented is not realy our prime concern. The concern iko kwa yale tuliyomtuma kama kayafanikisha basi.
Hizo fitu nyingine tutajadili kama taifa ie nini kalifanyia taifa. Remember kila mbunge yuko answerable to his people yaani wa lile jimbo analoliongoza moja kwa moja. Swala la utaifa linakuja baadae na hasa pale anapopewa jukumu la kushughulikia taifa kama la uwaziri.
Mramba bado ana nguvu lazima tuseme ukweli! Mimi nimefanya utafiti kdg, inaonesha hivyo!
- Mkuu Ben heshima yako sana, Mramba ana nguvu ya Kisumo (Mtandao) behind him na ninaamini sana kwamba anakubalika sana na wananchi wa huko Rombo, I mean mnyonge mnyongeni! au?
Respect.
FMEs!
..mimi nadhani Mramba asigombee tena ubunge. he has become too much of a distraction and polarizing figure in Tanzanian politics. wananchi wa Rombo wanahitaji mwakilishi mwingine ambaye hana matatizo kama yanayomwandama Mramba.
yebo yebo ukiamua kutuliza akili zako huwa unaandika vitu vya maana sana.lakini wakati mwingine huwa sikuelewi kama vile ulivyosema kuwa shayo ni associate professor nilikushangaa sana.mkuu hiyo kesi inaelekea kwisha kabla ya october.
jimboni rombo ile barabara ya lami (moshi mjini > marangu > rombo > tarakea) ndio inaelekea kukamilika...wapiga kura wetu wana desturi ya kuunganisha mafanikio kama haya na mbunge wao moja kwa moja. So, mramba jimboni kwake; kisiasa he is very much alive and kicking..!!
kuhakiksha jimbo linaimarika kiuchumi kutokana na faida ya kuwemo soko la pamoja East Africa.
Ndo manake CCM hawawezi ku-risk kupoteza jimbo kwa kumsimamisha mtu aliye na kesi ya wizi! Ajitulize zake na kutatua suala la kesi yake! Warombo wapi unaowasemea wewe? sio Watanzania hao Warombo au wanatoka Mars?....your statement itakuwa sawa kama itatoka direct from CCM........lakini hiyo haitakuwa kutoka kwa wa-Rombo
Acha lugha za mitaani wewe kama unatoka mipakani sidhani kama hii argument imefikirika! ni kama mtu aliye Tunduma au Namanga aseme SADC au EAC haina faida yeyote! fanya uchunguzi utajua the volume of trade mnayofanya huko na watu wa upande wa pili kwa vile hili ni jambo lisilozuilika! sasa kama bidhaa na biashara ikiboreshwa ina maaana mtapata hasara sio? what if mtauza siagi au yibini au maziwa mgando yenye ubora na viwango badala ya maziwa fresh! thamani ya fedha itapungua sio? what if mkiwa na formal soko la kuuzia hizi bidhaa kama ndizi na maharage? Mtakuwa na nguvu ya ku-negotiate kuliko mwanakijiji mmoja mmoja kukatiza mpaka na kuuza peke yake sio, kitu ambacho naamini ndo kinaendelea sasa!Ben: Hakuna faida yoyote ya maana kwa Tanzania kuingia kwenye 'soko la pamoja' la EAC.
Ben: Hakuna faida yoyote ya maana kwa Tanzania kuingia kwenye 'soko la pamoja' la EAC.