WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
nenda pale mbezi unanunua viwanja vinne kwa iyo bei na unapata na hela ya kuanza ujenzi kila kiwanja cha 30x 30 ni millioni mbili umeme upo kasoro maji
kwa standard ya upimaji huwezi nunua sq meter moja au mbili unaanzia sqm480 na kuendelea kwahiyo ni tsh 4,800,000/= .zipo standard low density na high density wataalamu watusaidie dimension zake tafadhali
ila elewa wavitumia kwa sasa ila wakiondoka tutavitumia tuu wewe huoni sasa kuna daladala zinaenda masaki je mwaka 2007 zilikuwepo.
Kwa nini isifike au hujaelewa Soma...! Ndio maana kumbe huwa mnafail... lol Kakuambia square meter 30 kwa 30 ndani yake humo utapata square meter jumla 90 so ukizidisha kwa kumi elfu utapata hiyo hesabu yake ya Million 9 Kama hujaelewa kajiandikishe tena Shule...mkuu labda unisaidie kitu hiki kabla sijachangia, umesema square metre sh.10,000/=, ina maana mtu akitaka square metre 3 atalipa 30,000/=, ivo ivo akitaka sq.metre 4 ataongeza elfu 10,000/= ivo ivo mpaka metre sq.metre 30 atalipa elfu kumi kumi mpaka mra 30, je itafika 9,000,000/=. Mimi nafikiri itakuwa 10,000/=mara 30 ambayo ni sawa na (10,000/=*30= 300,000/=) plus 10,000/= ya maombi. Au apa na ela inawekwa kwenye meter squared?????????? Kazi ipo.
mkuu labda unisaidie kitu hiki kabla sijachangia, umesema square metre sh.10,000/=, ina maana mtu akitaka square metre 3 atalipa 30,000/=, ivo ivo akitaka sq.metre 4 ataongeza elfu 10,000/= ivo ivo mpaka metre sq.metre 30 atalipa elfu kumi kumi mpaka mra 30, je itafika 9,000,000/=. Mimi nafikiri itakuwa 10,000/=mara 30 ambayo ni sawa na (10,000/=*30= 300,000/=) plus 10,000/= ya maombi. Au apa na ela inawekwa kwenye meter squared?????????? Kazi ipo.
hata wangeviuza 500,000. Bado wangeuziana wao kwa wao tu. This govt is rotten when it comes to corruption.
mkuu labda unisaidie kitu hiki kabla sijachangia, umesema square metre sh.10,000/=, ina maana mtu akitaka square metre 3 atalipa 30,000/=, ivo ivo akitaka sq.metre 4 ataongeza elfu 10,000/= ivo ivo mpaka metre sq.metre 30 atalipa elfu kumi kumi mpaka mra 30, je itafika 9,000,000/=. Mimi nafikiri itakuwa 10,000/=mara 30 ambayo ni sawa na (10,000/=*30= 300,000/=) plus 10,000/= ya maombi. Au apa na ela inawekwa kwenye meter squared?????????? Kazi ipo.
teh teh teh teh teh.....hii confidence nimeipenda!!hili nalo neno. ngoja kesho niamkie huko nijue kinachoendelea nitawajuza baadae nikitoka huko. twende tu tukapambane na ho mafisadi. tuchukue form hata kama hatuna hela.