Hivi karibuni!!Somo linaanza lini?
Safi mkuu, tumepanda gari moja hata mimi lazima niwe na diary farm na kiwanda cha kusindika mazao ya maziwa. Tupo pamojaHii ni moja ya biashara ambayo lazima nitaifanya,
LAZIMAAAA NITAIFANYA
Mungu nipe uzima tu
tunaanza na topic gani au nimekosea darasaUpo tayari kwa somo?
Je unajua kwamba, Ng'ombe mmoja anaweza kutoa maziwa Lita 30 kwa siku?
Umejiandaa kuwa mfugaji?
Ng'ombe wanapatikana, Pure breed.
Jersey, Friesian, Fleckvie etc.
Somo litakuja.
0737212132!!
View attachment 1120413View attachment 1120414View attachment 1120415View attachment 1120418View attachment 1120420
Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.nzuri tunalingoja kwa hamu tuongeze pale tulipopungukiwa, elimu tunayo changamoto mbegu imekuwa kizungumkuti maana nyingi zimevurugwa vurugwaa na baadhi ya wafugaji
Nina tatizo Kama lako la Aina hiyo ya ngombe kutoa maziwa kidogo na katika kudadisi kwangu nikaambiwa kadri atakavyokuwa ana zaa maziwa yatakuwa yakiongezeka ,Sasa ana mimba miezi sita nangoja nioneMwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
Hata mimi nimenunua wawili nikiambiwa wote wana mimba ila kiukweli mmoja tu ndio alikua na mimba na amesha zaa.Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
inawezekana dume ndo tatizoMwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
mkuuuuuu mkuuu ng'ombe ka huwajui wanaweza kukupasua kichwa lazima ujue unampeleka kwenye dume wa aina gani, ucje peleka kwenye bonge la dume ukijua ndo lamaziwa linaweza kukuharibia, lazima uwe na historia la dume kujua ka ni la maziwa ama la! la sivyo unaweza kuwa na jike mzuri sana ila ka kapelekwa kwa dume kimeo jike akiwa anakamuliwa hatokuwa na maziwaNina tatizo Kama lako la Aina hiyo ya ngombe kutoa maziwa kidogo na katika kudadisi kwangu nikaambiwa kadri atakavyokuwa ana zaa maziwa yatakuwa yakiongezeka ,Sasa ana mimba miezi sita nangoja nione
Pili nimembiwa ngombe akiwa na kiwele kikubwa anatoa maziwa mengi sijui Ni Kweli...
Dume anahusika vipi na kutoa maziwa ?hii ndio Mara ya kwanza kujua hiimkuuuuuu mkuuu ng'ombe ka huwajui wanaweza kukupasua kichwa lazima ujue unampeleka kwenye dume wa aina gani, ucje peleka kwenye bonge la dume ukijua ndo lamaziwa linaweza kukuharibia, lazima uwe na historia la dume kujua ka ni la maziwa ama la! la sivyo unaweza kuwa na jike mzuri sana ila ka kapelekwa kwa dume kimeo jike akiwa anakamuliwa hatokuwa na maziwa