kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 12,869
- 13,191
Japo picha y majani hayo mdauKuna nyasi mpya zinaitwa juncao zinafanana na elephant grass ni nzuri sana kupanda kwa ajili ya malisho ya ng'ombe,eneo dogo unalisha ng'ombe wengi kwa mwaka.
Kwa masuala ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,mbuzi na kondoo,malisho,matunzo na biashara ya maziwa, ng'ombe wa nyama na mbuzi nichek.
0756625286.