Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

nzuri tunalingoja kwa hamu tuongeze pale tulipopungukiwa, elimu tunayo changamoto mbegu imekuwa kizungumkuti maana nyingi zimevurugwa vurugwaa na baadhi ya wafugaji
 
Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.

Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !

Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
 
Nina tatizo Kama lako la Aina hiyo ya ngombe kutoa maziwa kidogo na katika kudadisi kwangu nikaambiwa kadri atakavyokuwa ana zaa maziwa yatakuwa yakiongezeka ,Sasa ana mimba miezi sita nangoja nione

Pili nimembiwa ngombe akiwa na kiwele kikubwa anatoa maziwa mengi sijui Ni Kweli...
 
Uzoefu wa 4 years kwa mlioko Dar usinunue hawa Ng’ombe utajuta. Nilinunua 4 , 2016 kwa milioni 8 wote wamekufa na watoto wao. Kwa Dar hawatoi zaidi ya lita 5 kwa siku. Wanakua na gharama kubwa kuwatunza kama yai. Tafuta chotara tena nenda Kibaha ndio wanasurvive Dar. Mtakaonunua hawa mlete mrejesho.
 
Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.

Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !

Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
Hata mimi nimenunua wawili nikiambiwa wote wana mimba ila kiukweli mmoja tu ndio alikua na mimba na amesha zaa.
Kuhusu uwingi wa maziwa ni kuwa hatoi zaidi ya lita 5 sio kama wanavyomsifia.
 
Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.

Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !

Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
inawezekana dume ndo tatizo
 
Nina tatizo Kama lako la Aina hiyo ya ngombe kutoa maziwa kidogo na katika kudadisi kwangu nikaambiwa kadri atakavyokuwa ana zaa maziwa yatakuwa yakiongezeka ,Sasa ana mimba miezi sita nangoja nione

Pili nimembiwa ngombe akiwa na kiwele kikubwa anatoa maziwa mengi sijui Ni Kweli...
mkuuuuuu mkuuu ng'ombe ka huwajui wanaweza kukupasua kichwa lazima ujue unampeleka kwenye dume wa aina gani, ucje peleka kwenye bonge la dume ukijua ndo lamaziwa linaweza kukuharibia, lazima uwe na historia la dume kujua ka ni la maziwa ama la! la sivyo unaweza kuwa na jike mzuri sana ila ka kapelekwa kwa dume kimeo jike akiwa anakamuliwa hatokuwa na maziwa
 
Dume anahusika vipi na kutoa maziwa ?hii ndio Mara ya kwanza kujua hii
 
Back
Top Bottom