JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Hili ni tatizo la wamakonde kutoelewa uchumi wa gesi. Huwezi kuzalisha umeme Mtwara halafu uusambaze nchi nzima. Kinachofanyika ni kulaza mabomba ya gesi nchi nzima ili kila sehemu palipo na bomba pawe na mitambo kama ya kinyerezi. Kifupi... kila kanda au mkoa unatakiwa uwe na kinyerezi yake.
Ndivyo wanavyofanya Europe..wananunua gesi Urusi .... gesi inasambazwa ulaya nzima kwenye viwanda,majumbani na kwenye mitambo ya umeme inayotumia gesi..
Ndivyo wanavyofanya Europe..wananunua gesi Urusi .... gesi inasambazwa ulaya nzima kwenye viwanda,majumbani na kwenye mitambo ya umeme inayotumia gesi..