Mkuu unaposema mradi wa gesi ni white elephant hapo naona huitendei haki Serikali, juzi juzi hapa ndio gesi imefika Kinyerezi na mitambo ya kuzalisha umeme hipo kwenye majaribio muda si mrefu itakuwa run 2 full capacity sasa tatizo liko wapi! Hata kama umeme ungezalishwa Mtwara bado gesi ingesafirishwa kuja Dar kwa ajili ya matumizi viwandani na majumbani,hivo it counts little wapi unaweka kiwanda cha kufua Umeme sehemu zote lazima umeme usafirishwe kwenye grid ya Taifa na losses katika usafirishaji wa nishati ni zile zile,kitu kingine ni lini mvua zimeanza kunyesha si juzi juzi tu,kwa nini unailahumu Serikali kwamba imeshindwa kutumia neema ya mvua kuzalisha umeme wa kutosha kutoka kwenye hydro Power Stations,nani kakwambia mabwawa yanajaa maji instantly hata mvua ikinyesha kwa wiki moja!! Lawama lawama kila kona, as far as you guys are concern Serikali ya CCM haifai - kwa nini mko hivyo lakini?