Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
Sawa,Mkataba uwe wazi. Yaani unataka kusema mikataba iwe wazi kama kalenda au almanac!!!!??
Tumeshajua umefika chuo kikuu.
Sawa,Mkataba uwe wazi. Yaani unataka kusema mikataba iwe wazi kama kalenda au almanac!!!!??
Kama ni shida, basi huenda TISS walimbonyeza akabadili gia angani, na hiyo shida(kama ilikuwepo), itakuwa ni kwenye mkataba tu na ndio maana tunasema mikataba ndio kila kitu na si haya mapambaio ya ukubwa wa meli zitazohudumiwa na hiyo bandari na mapambio mengine.Itakuwa alikuja kugundua shida fulani.
Na wajinga wanashangilia kama mazuzu!Mambo ya ajabu sana. Unamsikia Zitto na wengine wakitoa sifa kedekede bila kututajia tutapata hayo kwa gharama ipi?!
Mimi siamini kuwa aliongea haya bila details za mkataba, kumbuka huyu alikuwa ni senior minister kwenye serikali ya JK tena minister wa mambo ya counstructions, sasa iweje awe rais na afikie kutamka kusifu huo mradi bila kujua details za mradi?Kuna mawili: inawezekana wakati anaongea, huo mkataba alikuwa hajausoma, au kuna alichotaka hakupata( hawakuelewana).
Kamwe usiwaamini hawa watu ni kama vinyonga.
TISS si ni ileile?Kama ni shida, basi huenda TISS walimbonyeza akabadili gia angani, na hiyo shida(kama ilikuwepo), itakuwa ni kwenye mkataba tu na ndio maana tunasema mikataba ndio kila kitu na si haya mapambaio ya ukubwa wa meli zitazohudumiwa na hiyo bandari na mapambio mengine.