Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
anaonekana ana mapendo na watoto toka ndan ya moyo ..si YA KAMPENI.
mbona unajipigia promo?kama mimi
ok ni pm , na mimi ni zaidi ya hapombona unajipigia promo?
if it is true mimi penda wanaume wa aina ako.
Huyu mnafiki tu ameona libya kuna lipa. Sasa anajikosha kwa watoto!
.................poleHuyu mnafiki tu ameona libya kuna lipa. Sasa anajikosha kwa watoto!
Umetustukia eeh!teheeee, hongera zake mr. presida baraka hussein, ila ingekuwa bongo ungesema ikulu yageuka nursery school siooo!!!!!!!11
Kwani Ghadafi ni Mungu wako. Alipopiga Mwanza March 1979 inaelekea ulikuwa hujazaliwa ili kujua ubaya wake.Hafai huyu jaluo anampiga Ghadaffi