Ndoa ya "Hadi kifo kitutenganishe"
Siku hizi hiyo ya hadi kifo haipo nadhani kuna haja ya kubadiri baadhi ya mistari
Tupo!Safi sana.Hizo ndo mavazi ya taifa !! Je, mpo?
Hizo ndo mavazi ya taifa !! Je, mpo?
Exactly Madame; kwa ma desinger wa sasa Achaa banaa wanabuni ya ajabu kwa mpangilio wa viraka viraka !! hutokezaa..Mkuu once naiona picha niliwaza hivi..... Kweli likifanyiwa kazi litapendeza sana !!!!!
Dina !! ushawahi sikia usemi huu:~ kila swalaa na adhaana yake !! yaani Peoples power angeiwezaa uyo?!! Ona Vijana wa dotCom wanvyo fedhehesha wazee wakongwee!! Kesho tutaona Viongozi mashoga !! na hakuna wa kusema!!Mwalimu alikua HB ,, natamani angekuwepo mpaka leo sijui angeongeleaje swala la ushoga na mafisadii