Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?

Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?

Wapigwe Tu Tumechoka Ukijifanya Mwamba


Acha Tuone, Mambo Ya Ku Download Kuku Atoe Pesa
 
Naona jamaa kainvest kwenye ads–youtube ads na insta–nimemuona sana kama mwezi ulipita
 
Mkuu wewe ndio umetuleta kwenye somo lenyewe.. big up.

Naamini kuna watanzania wengi sana wamesha pigwa na natabiri atafuta matangazo yake na kutokomea kusiko julikana.

Cha kushangaza, wizara husika zinawaachaje watu kama hawa wanafanya utapeli kwa leseni za serikali?



Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari wanachunguzwa!

Kuna rafiki kaweka pesa yake huko[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let me add some pepper [emoji16]
Screenshot_20200419-225620.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wachawi wengi sana,sasa FIU wanachunguza kitu gani? kwani kuna mtu aliyeibiwa? Vijana wa watu wameamua kujitoa kwa ubunifu mzuri lakini serikali wanarudisha nyuma vijana!!!
 
Back
Top Bottom