Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?

Wewe Dada mweupe kabisa kichwani, mwenzio kaandika research yake jinsi gani anamtilia wasiwasi uwenda ikawa utaperi wewe unakuja kuConclude kawa kawataperi wengi serikali inamuachaje.

Duu

Portfolio | 2020
Jamaa 'Mr. Kuku' ameandika bonge moja la research na kwa sasa yuko mahakamani anai-defend.
 
Ile ni ponzi scheme na ndio maana wanajitangaza sana ili wapate pesa za kulipa waliowekeza kutoka kwa member wapya....hakuna namna kuku wanalipa hivyo, na kama wanalipa hivyo kwanini wasibaki na hiyo faida wao wakupe wewe, wangechukua hata mkopo bank ambapo riba kwa mwaka haizidi 20% wazalishe hizo faida wabaki nazo.
Wao kila sili wanatangaza kutafuta wawekezaji sababu ndio deci ilivyo hela.za leo zinalipa wajana mpaka pale kiwango cha waingiaji wapya kikiwa kidogo kuliko waliopo, hapo ponzi scheme itafeli.
Ni ajabu mpaka sasa mamlaka zimeacha utapeli huu wa wazi uendelee.
Yametimia, washalizwa watu, tulijua ni suala la mida tu.
 
Yametimia Sasa Hivi Alianza Kufuga Manyoya Mpaka Akapata Kuku, Mr.Kuku Yupo Mikono Salama
DECI Imerudi
 
P
Hahaha calm down..hiyo pesa ameiwekeza muda mrefu alianza na 7millon akawanairudisha mdogo mdogo.kwenye biashara(reinvestment in the project).mpaka..ikakua hadi 52 million.

Watu ambao sana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa..na concept mpya ya crowd farming.

Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk.lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wew ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.

According to google:Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.

Aina hii ya kilimo...imeshika kasi sana Nigeria...
Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming...(najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao).Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakua ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu..

Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo.huko Nigeria na south Africa.Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwahiyo watu wanakua negative kisa tu ni kitu kigeni...

Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu.Na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.
Baadhi ya makampuni ni yafutayo..(Nigeria)

1.thriveagric.com
2.farmcrowdy.com
3.farmkart.ng
4.porkmoney.com
5.efarms.com.ng/end
6.payfarmer.com
7.agropartnerships.co
8.tradersofafrica.com
9.farmfunded.com
10.ez-farming.com
11.menorahfarms.com
12.farmagric.com
13.farmbuddy.ng
14.groupfarma.com.ng
15.greenfoldfarmprojects.com
16.smartfarm.com.ng
investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.

Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming...investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6.Na pia soko LA uhakika analo..(contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maluum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo.(Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku.Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)

Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week

Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario...
Acacia/barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita gold mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa,na masupplier wadogo.. Wanaopelekea masokoni etc.


Advantages ziko hivi..
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini SAA mbili usiku nafanya kazi hadi jumapili.Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina.Na hata ulisema mkopeshe MTU pesa mtaishia kugombana...

Kwahiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor.nakua kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakua ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.

Ni kama kununua shares kwenye kampuni LA cocacola au vodacom..wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends...

Mimi binafsi na kusanya pesa zangu naenda kuziweka huko...
By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku...please anijulishe....

Risks
Ofcoz just like any other business.. Kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi...Its your job to determine whether you can accept the risks or not.Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low..mfano Mimi am willing to risk 5 million..mwingine na risk 7million etc.

i Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwasasa hivi bado hajapata competition yoyote....naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises....

Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses...sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao una anza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.

Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy...

Pia kuna huyu jamaa wa south Africa anasema unanunua ngombe...na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com

Kwahiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research...Tusipende kujibu kwa mihemko kwasabab tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako...



TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU.TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.






Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba
 
Kama hao wadau wamekuja na gia hiyo feki na kujiita Mr. Kukus kwa maana ya kificho kuwa wanahitaji ma Mrs. Kukus ilikufanikisha dhamira yao kuwatotolesha hasara na hatimaye kuwaacha solemba.

Mtu yeyote yule akikutangulizia taarifa ya "deal" yenye "return" kubwa bila ya kugusia "factors" nyingine muhimu kama vile "operating risk" kaa mbali naye na muogope kama ukoma.View attachment 1350299

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu kuku na yeye alienda location
kupiga picha kama ma slay queen wetu ???🤔
 
Watu waliofanya D9 wanatakiwa kukamwatwa na kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha..

Wengi wameishia kuraskisha fedha zao kwenye miradi ambayo haina kichwa wala miguu..

Mtu anafungia yadi ya magari, studio, mara sujui kilimo, fedha ametoa wapi na hana mkopo bank.?
Hakuna kabisa. Tafuta watu wa DECI, D9, sijui na network marketing zote utajua ukweli.
 
Watu waliofanya D9 wanatakiwa kukamwatwa na kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha..

Wengi wameishia kuraskisha fedha zao kwenye miradi ambayo haina kichwa wala miguu..

Mtu anafungia yadi ya magari, studio, mara sujui kilimo, fedha ametoa wapi na hana mkopo bank.?

Bora hao walioweza piga pesa...wengi waliliwa vibaya
 
Back
Top Bottom