Asante sana mkuu.wengine wameishia kunita wakala..kitu kikubwa ambacho nimejifunza watanzania wengi hatusomi na tunapenda kujibu kihisia zaidi.Na kibaya ni kwamba hawataki kufanya study ya ndani zaidi kuhusu jambo jipya.Mfano watu wamekua wakiziponda network marketing sijui utapeli blah blah lakini makampuni yapo na yanaendelea kufanya kazi mengine hana miaka zaidi ya kumi yanafanya kazi.
Na kumbuka pia wakati mfumo mpya kutuma pesa kwa mpesa watu walikua wanapinga sana tena sana wakisema sijui pesa zitaibiwa ni bora nitumie Benki kutuma pesa.
Humu hadi Leo kuna watu wana amini kua kununua vitu online ni utapeli blah blah....
Kwahiyo ukitaka kufanya mamuzi ya kufanya investing au kitu chako ni bora uende uende legitimate sites kufanya research yako ya bidhaa na aina biashara.mfano watu wamekalili kua ukitaka kununua shares lazima tufanye floating of shares on capital markets kama dar es salaam stock exchange lakini wanasahau kua kina venture capital funds...ambazo ni vikundi vya watu ambavyo wana pool funds together na kuinvest kwenye biashara at certain amount of risk.(kama unavyo fahamu kila biashara ina risks zake).
Tanzania Bahat mbaya hatuna venture capital firms kwahiyo unakuta biashara hizi za enterprise zikiwa changa akitaka kupanuka inabidi aje kwa watu...individuals... Ili aweze pata funds za kuikuza biashara iwe kubwa ofcoz akiwa promise investors good returns...
Kwasababu eventually atakuja kustop kupokea individual investments..Maana hapo atakua amefanya projection zake zimekamilika biashara itaanza kuchanganya....
Nimekua nikimfatilia Mr kuku yangu 2017 alipo anza..na alipoalika watu Mara ya kwanza.mabanda yalikua local sana..na future wasn't bright.Lakini kuna watu waliamini ile biashara kua itakua...kwahiyo kina watu waliwekeza pesa kule mabanda yakajengwa etc 2017 Leo hii ndo wanaocheka all the way to the bank na kumbuka wapi waliosema kua pesa zenu zitapigwa sijui blah .sasa hivi mradi ile umekua sana I I think its worth billions..
Nimesema haya sio kwa kumshwishi mtu ila aende akafanye research yake....
Kina huyu jamaa wa south Africa anipango wa kua na ranch za ngombe Africa nzima.na mfumo ni huu huu..ukienda kwenye site take wealthlivestock.com.Yaani anasema unaweza ukawa unafuga ngombe bila kua shamban huku ukiendelea na kazi zako mjini popote duniani.na unawekeza pesa baada ya muda unavuna faida.wao watashugulika na kumkuza kumlisha hadi marketing....
ILA KWASABABU NI KITU KIGENI WATU WATAISHIA KUSEMA NI UTAPELI HAIWEZEKAN UFUGE NGOMBE NA WAKULETE FAIDA MARA DUFU NGOMBE HAO WAKIWA NJE YA INCHI.
Yaani kina disruptive concepts nyingi sana zitakuja ambazo zitabadilisha vitu vingi sana huko mbele kuna watu watachwa nyuma na kuna wengine watasonga mbele...
Sent using
Jamii Forums mobile app