Hiii inaitwa market net work kama QNET , FOREVAR LIVING,TIANSEE,GNLD , hiii mambo ya kuweka hela ...watu wanalizwa sana hapa town aiseMiradi kama hii huwa inakufa mapema pale inapoanza kuzungumziwa vibaya kwa sababu wenye hisa zao wanaanza kujitoa. Hata DECI ilikuwa hivi hivi.
Kimsingi hakuna kitu kama hiki, hii ni pyramid scheme
Wewe ni tapeli!
Mkubwa umenena vyema sana kuna watu waoga sana...uwekezaji wenyewe ni 150,000/= tu ...aina ya watu tulionao wanaamini kila mtu nimpigaji na hatupo tayari kutake risk... baki na hela yako mzee kwenye account
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza kampuni hizi hapa DSM nazo zimeliza watu kwa biashara kama hiyo.
17. NAMAINGO
18 KIJANI KIBICHI
Inawezekana hao wako tafauti lakini Mr. Kuku lakini sera za hao wa kuku ni hizo hizo na kijani kibichi.
Sasa Mkuu we mwenyewe unawatoa watu wasiwasi kwamba Mr.Kuku ni sawa na hao uliowataja. Una uhakika gani.
Wasiwapotezee muda hao. Ni matapeli wako kazini. Wanadhani kila mtu ni mjinga. Dunia ya leo ni nani atakufanyia kazi na akupe faida kubwa namna hiyo kwa muda mfupi? Huu ni upigaji na Nigeria kuna makampuni mengi sana ya kitapeli ya aina hii na yameliza watu wengi. Hawa wanadhani wanafanya utapeli mpya kumbe watu tunaujua siku nyingi.Inawezekana hao wako tafauti lakini Mr. Kuku lakini sera za hao wa kuku ni hizo hizo na kijani kibichi.
Kwa kifupi hapa TZ sio mara ya kwanza kuanzishwa kwa Taasisi za namna hiyo.
Nimeona niwastue watu kwasab
Sasa Mkuu we mwenyewe unawatoa watu wasiwasi kwamba Mr.Kuku ni sawa na hao uliowataja. Una uhakika gani.
Mkuu sio mara ya kwanza hapa TZ kwa fursa kama hizo kutangazwa na zote hazijawai kufanikiwa.
Ndio nimekupa mifano ya kampuni hizo.
Tuna kesi na hao watu zipo kwa DPP. Tulijaribu pia kupitia Ikullu haikutusaidia kitu. Jamaa anaendelea na utapeli.
Dawa moja nzuri sana ya kukabiliana na matapeli kama nyie ni kutokubali kuangalia ''sample'' yoyote wanayokuonyesha au kufanya nao majadiliano. Matapeli hupenda kutumia ushuhuda unaofanya watu wavutiwe. Labda mtapata watu wajinga sana lakini watu wengi wameshaelewa utapeli wenu.
Umenikumbusha ile page mkuu.mimi mpaka sasa mtu akisema alitapeliwa na yule tapeli mpuuzi sitampa hata pole zaidi ntamshangaa na kumcheka tu.Wizara utakuta hazina hata taarifa, istoshe hapo inavyoonekana sio utapeli wa moja kwa moja, kwamba unampa tu hela kisha anakimbia, hapana... Huo ni utapeli wa kitaalamu, kuna mikataba utasainishwa wakati wa kuinvest hiyo 150k yako.
Sasa kwenye ile mikataba kutakua na vipengele vitamlinda sana yeye Mr. Kuku, na wewe mbongo kwakua akili yako yote ilikua ikiwaza kuvuna mil 8 basi hata hautajishughulisha kuusoma mkataba kwa kuuelewa, utasoma ili umalize kusoma tu.
Mfano kwenye mkataba kunaweza kua na kipengele kinachosema... "Endapo mradi ukapata hasara nakupelekea investor kushindwa kulipwa return yake, basi investor atarudishiwa return yake ndani ya miaka 5 ijayo baada ya tarehe husika ya return". Mzee baba hapo itakuta mkataba upo kwa lugha ya malikia basi mbongo unajikuna unaambukia this is na that [emoji3]..
Kimbembe kitakuja siku ambayo unatakiwa kupata return yako.. Kwanza watakaa kimya tu, utapowakumbusha hapo ndipo zitapokusa sababu za hapa na pale... Mfano unaweza kuambiwa "Kuku waliugua ugonjwa wa gafra na kupelekea kufa hivyo mradi uliingia kwenye hasara, investor wote wamepata hasara kwaiyo return yako tunatarajia kuirudisha baada ya miezi 6 mingine kwenye mradi ujao" hapo ndio bye bye hio mkuu..
Ukianza kulalamika utaambiwa nenda mahakamani [emoji3]... (Hapo umesha sahau kama ulisign mkataba, na huo mkataba hukuusoma na kuuelewa wote).. Hapo hesabu ushapigwa tayari.
Nakumbuka mwaka jana kuna jamaa alitapeli sana watu huko instagram... Watu walinyooshwa sana, alikua anajiita "PIKIPIKI MTUMBA" [emoji16]... Alikua anapost zile bikes kali kali za dede, kama honda, enduro, ktm kuanzia cc 250 hadi zingine za cc 1000 kwa bei sawa na bure. Utakuta honda ya cc 450 anauza kwa 2.5 milioni. Kumbe jamaa alikua na strategy pendwa kwamba "Tunatuma jadi mkoani, kwa uaminifu mkubwa"
Basi baada ya kuvutiwa na bei zake nikasema hebu ngoja nimuibukie whatsap (maana alishaweka namba kwa BIO pale juu )... Basi nikaeleza shida yangu pale, kwawamba nimeipenda pikipiki fulani bei yake ikoje? Nikatajiwa mil 3, nikamwambia mimi nina mil 1.8, naomba unisaidie kaka... Akakaa kimya kwa sekunde kadhaa kisha akajibu sawa lete hiyo. Nikamuuliza utaratibu ukoje?... Hapa ndipo aliponihakikishia kwamba yeye tapeli though nilishaana kuhisi harufu ya utapeli kabla [emoji3].
Jamaa akanambia "tuma hiyo pesa kwa namba hii kisha mzigo wako utatumwa na ndani ya siku 2 itakufikia popote ulipo"[emoji16] Yaani biashara ya mamilioni ifanyike kama biashara ya nyanya geengeni? Na hapo hapohajui hata nipo mkoa gani... Nikastaajabu! Nikamwambia bro kwani ofisi / store yenu iko wapi? Akasema tupo Arusha, nkamwqmbia sio kesi mimi nipo dar naomba namba yako ya simu kisha nipe location ntakuja hadi hapo store kwenu. Baada yakumwambia hivyo hakujibu tena txt na akanibloku kabisa. Ikabidi jicheke tu [emoji16].
Nikarudi kwenye page yake nika comment aache utapeli afanye kazi, alafu nikamwambia kajifunze mbinu za kitapeli sio hii, hii itakukamatisha fasta... Ndani ya dakika tu comment ikafutwa nikalambwa na block kabisa [emoji3].
Sema jamaa alipiga dana hela yule maana nilkua naona malalamiko kwa watu, kwamba "mimi numeagiza helment ila week ya pili hii sijapata"! Comment ukirudi baada ya muda unakuta imefutwa, Pia jamaa alikua anaushamba kidogo na mtandao wa instagram maana hata comment alikua anaachia tu.. Angejua ku ingore comment kwma Mr.kuku angepigahela nyingi sana. Sasaivi ile page siioni kabisa, sijui imefutwa au amebadili jina..
TUWENI MAKINI MAZEE
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sure, hakuna muwekezaji hapoMkubwa umenena vyema sana kuna watu waoga sana...uwekezaji wenyewe ni 150,000/= tu ...aina ya watu tulionao wanaamini kila mtu nimpigaji na hatupo tayari kutake risk... baki na hela yako mzee kwenye account
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama ni sumu wakati hakuna iliye mdhuru?Sumu haionjwi kwa kulambwa! Vitu vingine mtu unatumia logic tu unajua huu ni utapeli!
OK....Insurance ipi ime cover RISK against death of poultry against viral or bacterial or parasitic infections??
Kuku wakiamua kufa kwa ugonjwa, jamani usikie kwa jirani, ikikutokea, kuokota mizoga asubuhi, mchana na jioni, unaweza na wewe ukaokotwa ukiwa mzoga...
Sasa wenzetu watueleweshe, kuku wakiingia ugonjwa wakafa, mabanda kwa mabanda, INSURANCE wanayozungumzia ni ya kampuni ipi hapa bongo??
Wakinijibu hili na vielelezo, tunawekeza...wife aache kufuga mwenyewe tuwe tunasubiria faida tu...
Everyday is Saturday..................😎
Labda nikufahamishe tu katika Watu waliotapeliwa upatu haramu wa D9 wako baadhi ni Wakubwa serikalini, na Ben bado anadunda tu mjini. Hapo piga Magazijuto utapata jibu.
Labda nikufahamishe tu katika Watu waliotapeliwa upatu haramu wa D9 wako baadhi ni Wakubwa serikalini, na Ben bado anadunda tu mjini. Hapo piga Magazijuto utapata jibu.
Mwakilishi wa D9 hapa Tanzania