Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Nje kabisa ya mada, ni kukosa hojaNa asilimia kubwa ya Wagogo ni wachafu, mwisho tunajikuta tunakufuru na kuwaambia ukweli wao.
Nje kabisa ya mada, ni kukosa hojaNa asilimia kubwa ya Wagogo ni wachafu, mwisho tunajikuta tunakufuru na kuwaambia ukweli wao.
Hakuna anaenidharau Mimi,as long no one pays my bill here or anywhere elseWanaweza wasiwe competent lakini wanajiamini,hawaonewi na wanaheshimika .Angalia wanajeshi form four failure anamdharau mwalimu Clinical officer,nesi,konda wa daladala nk,hawachezewi na mtu kama kwa walimu.Wanaheshimiwa sana .
Naunga mkono hoja hiiMambo ya hovy sana na ajabu mada kama hizi kutukana walimu zinakua nyingi na zinaachwa tu.
Nafikiri huu si uhuru manq uhuru unaenda na kuheshimiana, utu, wajibu na haki kwa kila mmoja.
Mtupumzishe sasa walimu....tumechokaaaaaaaa,kwani Twiga ipo wapi hivi unadhani kwa hali ya sasa ya kiuchumi na mdodororo huu fiche haka kabank ketu kamajaribio kanaweza fua dafu mbele ya mabeberu ya ndani.....??mm ni mwalimu japo sipo huko kwa sasa bt sipendi namna walimu wanachukuliwa...Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA ,Yuko sahihi?
Ni vile tu tunatumia hapa fake ID,unaweza ukashikwa na butwaa ukikutana na hawa mabingwa wa kuwasimanga Walimu katika uhalisia wa maisha yao.Hakuna anaenidharau Mimi,as long no one pays my bill here or anywhere else
Nafahamu Haki zangu,naheshimu kazi yangu , naheshimu Sheria za nchi ,naheshimu waajiri wangu
Huo ualimu mnaodharau watu TAMISEMI wanatoa mpk 3m Ili wapate kazi Sasa hivi Sio Kwa hekaya but true a friend of mine ametoa 500k Ili tu apate ajira na kakosa,yaani Mimi hata nitukanwe humu kutwa nzima I don't give a damn about that shit your blabbering here
Sawa nshakua mwl but Sio wa mwisho wa maisha na Sio LAANA kwanza ni kazi ya Mungu hii kufundisha mtu mpk anakua
Sifanyi kufurahisha watu nafanya kama sadaka yaani nna malipo dunina na akhera kesho Kwa Mungu mawe mnayorusha endeeleeni kurusha Mimi Sibadiliki na Wala sisemi eti mhasibu noon,mwl wa Maths Tena Shule za kata hizi za Lowassa hizi
Kingine Mimi sio boya nna akili kichizi yaani nnajiamini na siogopi kufukuzwa KAZI nshawahi kugoma kwenda kulala kwenye Mwenge peke yangu sikufangwa kitu chochote,Mimi sio kilaza na sipo pale kwa msaada elimu yangu imeniweka pale haijalishi nalipwa kiasi Gani brooohh!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabisaa my dear mbwembwe tu ukute Wana maisha magumu mnooNi vile tu tunatumia hapa fake ID,unaweza ukashikwa na butwaa ukikutana na hawa mabingwa wa kuwasimanga Walimu katika uhalisia wa maisha yao.
Nimesikitishwa Sana na Andiko Hilo.la kuhusu Walimu na mkichunguza Sana Hawa wanaoandika hizi kashfa huenda Ni Walimu au walitimuliwa ualimu baada ya kufanya makosa kadhaa.Sasa Ile uchunguu ndo unaowatesaHivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA ,Yuko sahihi?
Yani sio masihara sio ilivyo hawa ni zaidi ya choka mbaya ,wanapunguza stress Kwa kutukana walimu.Ni vile tu tunatumia hapa fake ID,unaweza ukashikwa na butwaa ukikutana na hawa mabingwa wa kuwasimanga Walimu katika uhalisia wa maisha yao.
Walimu wanaua bila sababu Wala faida,if other professionals kill,they kill for a reason.Mwalimu Res wa shule ya msingi kibeta alimuua Respicious kisa tu aliambiwa ameiba pochi.what about majority or ordinary people, doctors, police men, ? do they not kill?
Kwakweli mim sio mwalimu lakini kebehi dhidi Yao zimenichosha jaman embu waacheni as long as wameridhika na walipo mbona wao hawawashambulii?kama mpo pazuri SI mle maisha?yanini kukejeliana?Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.
Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.
Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu. JamiiForums.
Tanzania ni shirika gani au taasisi ya uma inayofanya vizuri?
Huko hao wote wanaofanya kazi ni walimu? Kwanini kila siku kuwashambulia walimu? Kutumia lugha kali zisizo staha na matusi mkitafutwa unaeza kutolea maelezo usifikiri huezi kupatikana.
Kuweni makini.
Mwache best yanguumpwayungu village ana matatizo ya akili ila yeye hajui tu
Anatakiwa aende Milembe sio kwa kuwashambulia walimu hivi. .
mpwayungu village ni best yako?Mwache best yanguu
Humu eh napenda wakiwasema waalimumpwayungu village ni best yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu eh napenda wakiwasema waalimu
Mpwayungu Village yupo sahihi banaHoja ya msingi kabisa hii naomba mods waiweke iwe comment namba Moja kabla watu hawajaja kukurupuka na kumuunga mkono huyu mpuuzi mpwa guzi village
Wanawaonea walimu tuHiyo bank ilikuwa inaendeshwa na waalim? Acha dharau mwamba.
Waliajiri mabenka na sio kwamba walitoa waalimu praimari huko kuja kuwa makeshia wa benki
Imekuwa ya kijinga sana halafu mods wanachekele trafficJamii forums haina mwelekeo siku hizi mada za kijinga jinga ndizo zineshamiri.
Ukitaka mijadala yenye tija nenda Tweeter.