Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA. Yuko sahihi?
Ni kwel au uzushi
 
Ieleweke tu huyo anayejiita mpwayangu hana hoja inayoweza kueleweka ni sumu tu za kitoto anazipandikiza kwa watu muhimu na obviously ni failure wa maisha yake mwenyewe anatafuta faraja kwa kuwa-attack wengine.

Mwalimu anaonekana siyo mjanja kwa sababu kitengo chake hakina mianya ya upigaji lakini ieleweke ukiwatoa madaktari mwalimu ndiye mtu mwingine muhimu zaidi kwenye jamii kuliko mtu yeyote yule.

Acheni mambo ya kitoto!
Yule fala ni psychopath and anything worse than it u name it.

Cha ajabu masses of followers humu wanamuunga mkono which I see they are ana asses.

Na mbaya zaidi yeye mwenyewe ni mwalimu kwa ushahidi usio na shaka unaweza shangaa.

Hawa ndio wale vijana wa hovyo tunaowangelea siku hizi.
 
Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA. Yuko sahihi?
Huo upumbavu wako ni wa kurithi au umeutoa wapi. Walimu ni wafanyakazi wa benki? Mabenki mengine yaliyofilisika km Twiga Bankcorp, Posta na mengine yalikuwa ya walimu? Nyie mlikuwa vilaza shuleni ndio maana mnachukia walimu
 
Fikiria yule aliyenyongwa na mganga Ni mwalimu,walimu Hali Ni mbaya sana ,Hawa wa kike hadhi imeshuka sana ,wanaliwa na boda boda,madereva wa magari,wenye maduka ,mradi tuu walimu wa kike wanagawa mbususu Kama njugu,kazi ya ualimu hadhi yake imeshuka sana,walimu wanabet hatari ,walimu Wana madeni hatari,walimu wanastress sana wewe acha tuu
Wanavaa mikadeti imepauka pauka balaa
 
Hakuna anaenidharau Mimi,as long no one pays my bill here or anywhere else
Nafahamu Haki zangu,naheshimu kazi yangu , naheshimu Sheria za nchi ,naheshimu waajiri wangu
Huo ualimu mnaodharau watu TAMISEMI wanatoa mpk 3m Ili wapate kazi Sasa hivi Sio Kwa hekaya but true a friend of mine ametoa 500k Ili tu apate ajira na kakosa,yaani Mimi hata nitukanwe humu kutwa nzima I don't give a damn about that shit your blabbering here
Sawa nshakua mwl but Sio wa mwisho wa maisha na Sio LAANA kwanza ni kazi ya Mungu hii kufundisha mtu mpk anakua
Sifanyi kufurahisha watu nafanya kama sadaka yaani nna malipo dunina na akhera kesho Kwa Mungu mawe mnayorusha endeeleeni kurusha Mimi Sibadiliki na Wala sisemi eti mhasibu noon,mwl wa Maths Tena Shule za kata hizi za Lowassa hizi

Kingine Mimi sio boya nna akili kichizi yaani nnajiamini na siogopi kufukuzwa KAZI nshawahi kugoma kwenda kulala kwenye Mwenge peke yangu sikufangwa kitu chochote,Mimi sio kilaza na sipo pale kwa msaada elimu yangu imeniweka pale haijalishi nalipwa kiasi Gani brooohh!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Walimu wote wangukuwa kama wewe
Hakika hamna mtu angewadharau walimu
 
Back
Top Bottom