Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA ,Yuko sahihi?
Una uhakika hiyo benki ilikuwa ni ya walimu? Au ni kwa sababu tu iliitwa Mwalimu Commercial Bank? Hiyo benki ni mali ya mafisadi ya ccm kwa kushirikiama na wale viongozi vilaza na mamluki wa CWT.
 
Wewe ndio zero brain. You must be hollow!!!!

Wafanyakazi wa bank wamesomea ualimu?!?!?!?!

Ficha upumbavu wako dogo.
 
Wewe ndio zero brain. You must be hollow!!!!

Wafanyakazi wa bank wamesomea ualimu?!?!?!?!

Ficha upumbavu wako dogo.
Wewe ni kiazi kilichooza,Benki inamilikwa na wafanyakazi au walimu.In maana hujui Hata tofauti kati ya mmiliki na mwajiriwa!Kama ni hivyo basi Tanzania Kuna ujinga mwingi sana.Hujui kama wamiliki wa Benki ni walimu?
 
Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.

Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.

Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu. JamiiForums.
Tanzania ni shirika gani au taasisi ya uma inayofanya vizuri?
Huko hao wote wanaofanya kazi ni walimu? Kwanini kila siku kuwashambulia walimu? Kutumia lugha kali zisizo staha na matusi mkitafutwa unaeza kutolea maelezo usifikiri huezi kupatikana.

Kuweni makini.
Mods Wanafurahia walimu kutukanwa ila akisemwa mwanasiasa fkk sifuri ban na thread kufutwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yana umuhimu gn malofa haya zaidi ya kuisaidia ccm kuiba kura kwenye uchaguzi, punguza Wenge acha ujinga walimu wangekuwa wanaumuhimu wangepewa vipaumbele na serikali kama kada zingine, umuhimu wa mtu haupimwi Kwa kazi yake unapimwa Kwa smartness aliyonayo yenye kutoa best result sio hawa walimu ambao ukikohoa wanajamba nakukimbiana ni maoga majinga haya haijapata kutokea

Sasa kama mialimu ni mioga inashindwa kudai haki zao mpaka viongozi wa CWT wanakataa kuwa maDC ili waendelee kuchota pesa za haya malofa utasemaje Yana umuhimu, mbaya zaidi nimafeilures mengi Yana four either O LEVEL au ADVANCE yakakosa choice yakakimbilia ualimu
Ficha upumbavu wako.
Hujui hata mwizi wa kura anafanyaje kazi yake. Taifa lina hasara kuwa na kiumbe kama wewe.

Wale waliojazana vyuo vikuu wanaosoma baadhi ya kozi na undergraduates wengine ni bibi na babu zako. FOOLISH
Halafu ujue mama aliyekuzaa naye ni mwalimu wa kwanza je nayy tumuweke humo???!!??
Pumbaaavvuuu
 
Fikiria yule aliyenyongwa na mganga Ni mwalimu,walimu Hali Ni mbaya sana ,Hawa wa kike hadhi imeshuka sana ,wanaliwa na boda boda,madereva wa magari,wenye maduka ,mradi tuu walimu wa kike wanagawa mbususu Kama njugu,kazi ya ualimu hadhi yake imeshuka sana,walimu wanabet hatari ,walimu Wana madeni hatari,walimu wanastress sana wewe acha tuu
 
Una uhakika hiyo benki ilikuwa ni ya walimu? Au ni kwa sababu tu iliitwa Mwalimu Commercial Bank? Hiyo benki ni mali ya mafisadi ya ccm kwa kushirikiama na wale viongozi vilaza na mamluki wa CWT.
Ina maana wewe hujui kama Mwalimu bank ni Mali ya walimu? Unaishi wapi mkuu? Hii Benki ni ya walimu na ilianzishwa na Cham Cham walimu Tanzania.Wakati inaanza walitangaza kila mwalimu angepewa Hisa 100 kila mmoja.Utata wa hii Benki kuwa Mali ya walimu unatoka wapi?
 
Fikiria yule aliyenyongwa na mganga Ni mwalimu,walimu Hali Ni mbaya sana ,Hawa wa kike hadhi imeshuka sana ,wanaliwa na boda boda,madereva wa magari,wenye maduka ,mradi tuu walimu wa kike wanagawa mbususu Kama njugu,kazi ya ualimu hadhi yake imeshuka sana,walimu wanabet hatari ,walimu Wana madeni hatari,walimu wanastress sana wewe acha tuu
Kuna kondoo Fulani badala zijibu hoja kama hizi zinakalia kulaumu na kutukana.
 
Ukiachilia mbali walimu niambie field ipi yenye watu competency kwa hapa bongo. Wanasiasa vilaza, viongozi hawana upeo, mainjinia tunachukua wachina kama vile bongo hawapo, madokta, wanahabari n.k kote uko majanga kama kila field imeoza kwanini unatarajia walimu pekee wawe na unafuu?
Wanaweza wasiwe competent lakini wanajiamini,hawaonewi na wanaheshimika .Angalia wanajeshi form four failure anamdharau mwalimu Clinical officer,nesi,konda wa daladala nk,hawachezewi na mtu kama kwa walimu.Wanaheshimiwa sana .
 
Una uhakika hiyo benki ilikuwa ni ya walimu? Au ni kwa sababu tu iliitwa Mwalimu Commercial Bank? Hiyo benki ni mali ya mafisadi ya ccm kwa kushirikiama na wale viongozi vilaza na mamluki wa CWT.
Viongozi vilaza wa CWT ni walimu, huwezi kuwa CWT kama sio mwalimu. Generally Kwa kauli yako you mean Walimu ni vilaza na hata mimi naungana na wewe
 
Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA ,Yuko sahihi?
Ualimu sio LAANA, hayupo sahihi. Kuna mfumo kandamizi kwenye kada nyingi sana, sema walimu wao ni wengi ndio maana wanaonekana sana
 
Back
Top Bottom