Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Kwani walimu wanajikuta wameharibu kila mahali? Kupiga hovyo na kuuwa wao, kutapeliwa wao, kuuliwa wao, kulalamika wao, kuchapwa viboko wao. S utoro wao, Kuna mmoja kaua Arusha huko, majungu wao, kuiba kura wao. Benki yao wameshindwa. Mpwayungu kakosea wapi?
 
Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.

Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.

Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu.

Tanzania ni shirika gani au taasisi ya uma inayofanya vizuri?
Huko hao wote wanaofanya kazi ni walimu? Kwanini kila siku kuwashambulia walimu? Kutumia lugha kali zisizo staha na matusi mkitafutwa unaeza kutolea maelezo usifikiri huezi kupatikana.

Kuweni makini.
 
Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.

Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.

Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu. JamiiForums.

One mistake does not justify another mistake.
 
Jamii forums haina mwelekeo siku hizi mada za kijinga jinga ndizo zineshamiri.
Ukitaka mijadala yenye tija nenda Tweeter.
 
Mtu anayesema kwamba "mwalimu ana laana" nadhanI yeye ndiye mwenye hiyo laana.

Tuache dharau tujifunze kushukuru,hao walimu mnaowashambulia kwa maneno mabaya na kuwaona hawafai ndiyo hao hao waliwashikisha kalamu wakiwafunza kuandika,na hapa ndipo ile dhana Mtanzania anafurahia kuibiwa inapojidhihiri maana mkisikia mwanasheria wa serikali kaiba mnamuona ndiye mwenye akili lakini mwalimu kwa sababu kazi yake ni kuwafundishia watoto wenu pamoja na kuwatoa ujinga na siyo kukutana kwenye vikao vya pesa kuiba kodi zenu mnamuona akili hana.

Wekeni akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom