Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

Wataalam wanisaidie kuelewa.
1.Kulikuwa na umuhimu gani wa CWT kuanzisha benki?
2. Benki nyingine zilikuwa na upungufu gani hadi walimu wahitaji benki yao?
3. Iwapo kulikuwapo haja ya benki, mbona wao walimu na hasa viongozi waliendelea kupitisha mishahara yao kwenye benki nyingine badala ya benki yao?
 
Yana umuhimu gn malofa haya zaidi ya kuisaidia ccm kuiba kura kwenye uchaguzi, punguza Wenge acha ujinga walimu wangekuwa wanaumuhimu wangepewa vipaumbele na serikali kama kada zingine, umuhimu wa mtu haupimwi Kwa kazi yake unapimwa Kwa smartness aliyonayo yenye kutoa best result sio hawa walimu ambao ukikohoa wanajamba nakukimbiana ni maoga majinga haya haijapata kutokea

Sasa kama mialimu ni mioga inashindwa kudai haki zao mpaka viongozi wa CWT wanakataa kuwa maDC ili waendelee kuchota pesa za haya malofa utasemaje Yana umuhimu, mbaya zaidi nimafeilures mengi Yana four either O LEVEL au ADVANCE yakakosa choice yakakimbilia ualimu
Mada zako nyingi kuhusu walimu huwa nazisoma ila wewe hujitambui,ni either bado mtoto sana au una kitu kinakusumbua.

Wote ulioandika hapo juu ni uchafu coz sote tunajua mchawi wa uchaguzi Tanzania ni ”tume huru ya uchaguzi " so hata kwenye vituo vya uchaguzi wangekuwa wanakaa wachungaji na mashehe still hakuna siku ccm wangeshindwa,hao walimu unawaingiza sababu kuna namna unashusha depression zako za maisha kwa kuwatukana.

Ukweli ni huo japo huwezi kuukiri.
 
Yana umuhimu gn malofa haya zaidi ya kuisaidia ccm kuiba kura kwenye uchaguzi, punguza Wenge acha ujinga walimu wangekuwa wanaumuhimu wangepewa vipaumbele na serikali kama kada zingine, umuhimu wa mtu haupimwi Kwa kazi yake unapimwa Kwa smartness aliyonayo yenye kutoa best result sio hawa walimu ambao ukikohoa wanajamba nakukimbiana ni maoga majinga haya haijapata kutokea

Sasa kama mialimu ni mioga inashindwa kudai haki zao mpaka viongozi wa CWT wanakataa kuwa maDC ili waendelee kuchota pesa za haya malofa utasemaje Yana umuhimu, mbaya zaidi nimafeilures mengi Yana four either O LEVEL au ADVANCE yakakosa choice yakakimbilia ualimu
Mshyyynz sana mtoto wewe, nilijua ni kajinga flani hivi pale kalipozira kumalizia story ya safari yake ya Lindi. Believe me hichi kijamaa kitakuwa ni kichawi.
 
Yana umuhimu gn malofa haya zaidi ya kuisaidia ccm kuiba kura kwenye uchaguzi, punguza Wenge acha ujinga walimu wangekuwa wanaumuhimu wangepewa vipaumbele na serikali kama kada zingine, umuhimu wa mtu haupimwi Kwa kazi yake unapimwa Kwa smartness aliyonayo yenye kutoa best result sio hawa walimu ambao ukikohoa wanajamba nakukimbiana ni maoga majinga haya haijapata kutokea

Sasa kama mialimu ni mioga inashindwa kudai haki zao mpaka viongozi wa CWT wanakataa kuwa maDC ili waendelee kuchota pesa za haya malofa utasemaje Yana umuhimu, mbaya zaidi nimafeilures mengi Yana four either O LEVEL au ADVANCE yakakosa choice yakakimbilia ualimu
Una Sifa zote za kuwa Mirembe Hospital permanent "resident"
Hongera sana mpakwa mafuta ya Mirembe.
 
Wataalam wanisaidie kuelewa.
1.Kulikuwa na umuhimu gani wa CWT kuanzisha benki?
2. Benki nyingine zilikuwa na upungufu gani hadi walimu wahitaji benki yao?
3. Iwapo kulikuwapo haja ya benki, mbona wao walimu na hasa viongozi waliendelea kupitisha mishahara yao kwenye benki nyingine badala ya benki yao?
Hoja ya msingi kabisa.Naona wanazuoni mlikuwa Bado hamjaamka.
 
Sasa ndugu msomi mwenye maisha bora na usiye na laana maana si mwalimu unaonaje ukiwasaidia na hao walimu hata kwa kuwaongezea kila mmoja 50K kila mwezi ili waondokane na hali duni waliyonayo?
Kwani mkuu,umeshindwa kuelewa hoja yangu kwanini.Kwanza Mimi nimeuliza swali ikiwa Mpwayungu Yuko sahihi ama la.Pili,sijaongelea status yangu ikiwa ni msomi ama siyo,mwenye maisha Bora ama la Sasa wewe hayo umeyatoa wapi?
 
Hiyo bank kama ipo hoi basi kuna walimu wastaafu watakufa kwa presha.

Ilikuwa inashawishi wastaafu wakope huko riba kidogo sharti pension zao za kila mwezi zipitie kule badala ya NMB.

Mpaka upatikane muafaka wa wapi pesa zao zipitie lazima malipo yatasimamishwa tu.
 
Kuna huu uzi hapa JF....Nadani tuupitie pia.

Huu Uzi una mengi sana,kongole mkuu kwa kuleta.Tatizo wengi hawatasoma wataishia kulaumu ,kutukana na mihaho tu.
 
Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA ,Yuko sahihi?
Yuko sahihi🤔 walimu wachache wamefilisi benki yao 😅😅😅
 
Wataalam wanisaidie kuelewa.
1.Kulikuwa na umuhimu gani wa CWT kuanzisha benki?
2. Benki nyingine zilikuwa na upungufu gani hadi walimu wahitaji benki yao?
3. Iwapo kulikuwapo haja ya benki, mbona wao walimu na hasa viongozi waliendelea kupitisha mishahara yao kwenye benki nyingine badala ya benki yao?
😅😅Waliwaandalia upigaji waalimu wachache ndomana kutwa wanatibuana huko cwt kisa maslah
 
Kwani mkuu,umeshindwa kuelewa hoja yangu kwanini.Kwanza Mimi nimeuliza swali ikiwa Mpwayungu Yuko sahihi ama la.Pili,sijaongelea status yangu ikiwa ni msomi ama siyo,mwenye maisha Bora ama la Sasa wewe hayo umeyatoa wapi?
Msingi wa hoja zako ni dhihaka kwao japokuwa umejaribu kufunika funika.Lakini umefika mahali unasema,wanapigwa wao,wanatapeliwa wao,kila mahari wanaharibu.Sasa inahitaji rocket science kutambua kuwa na wewe umeanzisha hii mada ili kuwatweza Walimu.
 
Katika hayo niliyoyasema,ni lipo lisilo la kweli? Kama ni ya kweli nakuwaje nimewatweza? Usitumie hisia kunihukumu.
 
Uwezo wa bank unapimwa kwa CAMEL rating
C- Capital Adequacy
A - Asset Quality
M - Management Efficency
E -Earnings Quality
L- Liquidity

Ikifeli kwenye rating basi bank itaenda kufa tu. .
Kwa kiswahili? Hapa walimu wa shule ya msingi Ruganzo wilayani Ngara wanaweza wasikuelewe
 
IMG-20220116-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom