Mpumbavu HUSHAURIWA Kipumbavu

Mpumbavu HUSHAURIWA Kipumbavu

Tupange tukutane gwanda langu tulianzishe kwani vipi bana hakuna kuogopa kitu sasa
 
Mpumbavu = Dhaifu,
but, Dhaifu = Mtalii toka Bongo,
therefore, Mpumbavu = Mtalii toka Bongo.
 
du unaona post yako ilivyowapa hao watu ban????????????
 
JF bwana...kuna siku watu watazipa ngumi contribution ya mtu mbele ya computer zao wakasahau watasahau atakayepata hasara atakuwa ni yeye mwenyewe. teh teh teh... Eng. Y. Bihangaze umeamua kuanzisha uchokozi wewe,lol!
Ndahani umeona hizo banned Eng. Y. Bihangaze amekuja vibaya na hao jamaa wa FB
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa na busara ungekuwa wewe ndio kiongozi.

Nna uhakika mleta mada hujawahi kuongoza hata nyumba moja, wacha ujumbe wa nyumba kumi. Halafu eti unaweza kumsema anaeongoza watu zaidi ya million 40! tena kwa mafanikio makubwa kuliko kiongozi yeyote wa kabla yake.
 
Back
Top Bottom