MPOKI wa orijino komedi na misemo ya ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MPOKI wa orijino komedi na misemo ya ajabu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pure nomaa, Dec 17, 2011.

 1. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Wakubwa kwa wale ambao kwa namna moja ama nyingine tume kuwa tukifuatilia vipindi vya original komedi nadhani mtakubaliana nami kwamba huyu sylvester mjuni aka MPOKI amekuwa na misemo ya ajabu ambayo nashindwa kuelewa kwamba amesomea au kipaji binafsi tu.Baadhi ya misemo yake ni kama
  1.nyoka hana kiuno ndo maana havai shanga
  2kukaa karibu na godauni si kupata kazi
  3.usimsifu babako kwamba anajua kukimbia bali msifu na baba wa mwenzio aliyemkimbizia baba yako
  4kukaa karibu na shule sio kujua kusoma
  5kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria
  6kama akili ni nywele basi watu wasingenyoa siku ya mtihani na mengine mingi

  wakubwa naomba kutoa hoja
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani mpoki ni nani? Si muigizaji na mchekeshaji? Hicho ni kipaji baba kama walivyo kina kanumba na kina John cena.
   
 3. libent

  libent JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  huyu ndo bepari la kihaya alizaliwa wakati Mungu anafunga mahesabu yake. Nashut down
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbona sijaona msemo wowote wa kusisimua hapo. Isitoshe hii misemo hajatunga yeye na badala yake huwa anakopi tu kutoka kwa Gea Habib yule wa kipindi cha ''Kwa Raha Zako'' cha Clouds Fm.
   
 5. j

  julisa JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kweli ana misemo ya kuchekesha..ila ni kipaji chake!
   
 6. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi namkubali
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  huyo ni mzee w kuongea pumba!! hii ipo kwnye nyimbo yake mpya " BATA HATA AWE MCHAFU VIPI BADO ATATAGA YAI JEUPE"
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...japo jogoo anawahi kumka hawezi fungua mlango.
   
 9. Mmasihiya

  Mmasihiya JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Misemo anayoitumia iko mtaani sema kwa sab kaamua misemo iwe nembo yake anakuwa na kazi ya kuitafuta ili awape mashabiki wake sawa tu na Muhogo Mchungu alivyoamua kutumia methali....hata akiingia jf anaondoka na misemo mingi tu'
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  nawewe umezidi kumsifia Gea habibi na mawingu fm,kwani huyo gea ni nani?
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mpunga Kitenesi....tonge kubwa kama limau
   
 12. L

  Luminous black Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgalla muuwe, hakiyake mpe. Hv wengine hatupendi wa2 wapate sifa...
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Hii misemo imenikumbusha ile katuni ya Bingwa wa rivasi aka rivasi wa bingwa! Jamaa alikuwa anasema "Refarii kama umetoka choka!" akimamaanisha "Refarii kama umechoka toka"
   
 14. D

  David Julius New Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bt kaka mpoki upo juu!
   
 15. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukwel mpoki anajitaid sana hata bila ya misemo yake
   
 16. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hiyo kali, mimi binafsi jamaa namkubali.
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Watu vigeugeu sana humu ndani. Mara Original Comedy wanatumiwa na CCM mara tena ooh Mpoki anajitahidi sana. Kweli hakuna dawa ya kutibu unafiki duniani na hasa ukiwa umeahaingia ubongoni.
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  JF ina members wengi sana, kwa hiyo ukisikia sabini wameponda, usishangae kesho yake themanini wamesifia kitu kile kile. Kama una ushahidi kwamba yule yule aliyeponda jana, leo hii amekuja kusifia, wewe muumbue tu kwa kuweka link za posts zake zinazokinzana humu!
   
 19. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unashangaa misonyo kwa mama wa kambo,yatima adeki,kitovu km bamia
   
 20. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bonge wa Pb + gea habib ndo balaaa...mpok kawaida2 yoo
   
Loading...