Mpokee kwa amani Marehemu!

Mpokee kwa amani Marehemu!

Sorry my dear, charminglady ilitokea unfortunate niliyempa duty ya usambazaji habari kifaa chake cha kusambazia kilikumbwa na technical prob .
Btw kunichinjia kwako mto Mirongo kumeongeza ombwe baina yetu.

Mpwa wangu Judgement awali ya yote pole kwa kumpoteza mpendwa mama yetu mdogo, kama alivosema king'ati apo juu sote tumeshapitia huko.....pole sana

Baada ya hayo, siamini kama charminglady anaweza kufanya mambo hayo!
 
Last edited by a moderator:

Uncle Kaizer awali ya yote niseme ahsante kwa kutia maguu eneo hili , plus your condolences .
Aidha nikushkuru kuzidi neno SANA kwa kuni'boldia maneno mahsusi yaendayo kwa charminglady !
Jukumu linabaki kwake ufafanuo alithubutuje kunichinjia kunako mkusanyiko wa maji !
 
Last edited by a moderator:
Sorry my dear, charminglady ilitokea unfortunate niliyempa duty ya usambazaji habari kifaa chake cha kusambazia kilikumbwa na technical prob .
Btw kunichinjia kwako mto Mirongo kumeongeza ombwe baina yetu.

Yaalaaaahhhh... Mie jamani, hapana aisee utakuwa umenifanyanisha!!!!!
 
Mpwa wangu Judgement awali ya yote pole kwa kumpoteza mpendwa mama yetu mdogo, kama alivosema king'ati apo juu sote tumeshapitia huko.....pole sana

Baada ya hayo, siamini kama charminglady anaweza kufanya mambo hayo!

Hapana Ankal naona kanifanyanisha na mdada mmoja hivi jirani yangu.... Yaan anapenda kuniigilizia sana mpka tukafanana!!!
 
Pole Judgement nimesikitika sana kuona leo badala ya jana;
.......... Pole sana,
Tunaamini kuwa MAMA MDOGO atakuwa kwenye Raha na Mwanga wa Milele.

Katika watu wangu wa muhimu ambao nilikua nimebutwaika kutowaona hapa, wewe Mamndenyi you're amon of them !
Maadam ushatia suna basi na maisha yaendelee.
 
Last edited by a moderator:
You are still my shem bhana

Pamoja na hayo ndoa yangu na dadio "Haisimiki-Haisimami"
Hivi kuna ndoa bila UNYUMBA ?
Na moons 3 sijakamua nafaka! Na wala sijui mke aliko !
It's unconsciously couple ! His path directin to Mortuary via Intensive unit care (I. C .U)
 
Kufa ni faida na kuishi ni kristo cha msingi ni kujiandaa maana hakuna ajuaye siku na saa yake.
....Mungu akupe faraja yake
 
Pamoja na hayo ndoa yangu na dadio "Haisimiki-Haisimami"
Hivi kuna ndoa bila UNYUMBA ?
Na moons 3 sijakamua nafaka! Na wala sijui mke aliko !
It's unconsciously couple ! His path directin to Mortuary via Intensive unit care (I. C .U)
My dada njoo ujbu tuhuma mana nzito...
Copy: YNNAH, KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Judgement najua umeumia kwa kumpoteza mpendwa ambaye alikuwa nguzo muhimu kwako hapa duniani naamini sasa ni muda muafaka kuwa nguzo muhimu kwake(marehema) kwa kumfanyia Dua na maombi mara kwa mara.
Tupo pamoja katika hili pole sana mkuu
RIP mama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom