Mpokee kwa amani Marehemu!

Mpokee kwa amani Marehemu!

Pole sana Judgement najua umeumia kwa kumpoteza mpendwa ambaye alikuwa nguzo muhimu kwako hapa duniani naamini sasa ni muda muafaka kuwa nguzo muhimu kwake(marehema) kwa kumfanyia Dua na maombi mara kwa mara.
Tupo pamoja katika hili pole sana mkuu
RIP mama

Kiongozi bysange natambua presence yako hapa thanks , hili halina mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Nilichelewa kuiona,
Mungu akutilie wepesi katika kipindi hichi..
Roho ya mama yetu ipumzike mahala pema peponi.
 
Pole mkuu mungu ailaze pema peponi roho ya mama yetu mdogo amin
 
Nilichelewa kuiona,
Mungu akutilie wepesi katika kipindi hichi..
Roho ya mama yetu ipumzike mahala pema peponi.

Jawilat asante kwa duwa!
Btw hivi uonavyo naweweseka kukimbiwa na mke, wewe unafikiria nini kunihusu ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom