JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Feb 24, 2012 #2 hawa mbona wamechoka hivyo??
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Feb 25, 2012 #3 njaa mbaya
jane_000 JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 547 Reaction score 43 Feb 25, 2012 #4 flodywheather na mwamini
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 839 Feb 25, 2012 #5 Matumla chuchu saa 6 OTIS
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,285 Reaction score 9,048 Feb 25, 2012 #6 Tehe tee tee tehe!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Feb 25, 2012 #7 Mkuu chuchu hazina Mpinzani hapo OTIS said: Matumla chuchu saa 6 OTIS Click to expand...
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Feb 25, 2012 #8 Njaa mbaya sana..jamaa analia kwenye kupima uzito tu...ulingoni.
Mmasihiya JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 389 Reaction score 172 Feb 25, 2012 #9 Ina maana kuna watu watalipa viingilio kuwaona hawa jamaa?
Mzalendo80 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,509 Reaction score 1,343 Feb 25, 2012 #10 Duuh Rashidi kachoma mno, utafikiri hakuwa bingwa wa dunia. Kwelie Tanzania mwanamichezo akizeeka hana thamani Tanzania.
Duuh Rashidi kachoma mno, utafikiri hakuwa bingwa wa dunia. Kwelie Tanzania mwanamichezo akizeeka hana thamani Tanzania.
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Feb 25, 2012 #11 Shindano lenyewe litafanyika wapi, Tandale kwa Mtogole niniii?
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,325 Feb 25, 2012 #12 Mzalendo80 said: Duuh Rashidi kachoma mno, utafikiri hakuwa bingwa wa dunia. Kwelie Tanzania mwanamichezo akizeeka hana thamani Tanzania. Click to expand... Bingwa wa dunia ipi???
Mzalendo80 said: Duuh Rashidi kachoma mno, utafikiri hakuwa bingwa wa dunia. Kwelie Tanzania mwanamichezo akizeeka hana thamani Tanzania. Click to expand... Bingwa wa dunia ipi???
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Feb 25, 2012 #13 Hahahaha,eti ana kunja misuli ili uzito uongezeke au?
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Feb 27, 2012 #14 Speaker said: Hahahaha,eti ana kunja misuli ili uzito uongezeke au? Click to expand... Tehe tehe tehe, hiyo kali kuliko
Speaker said: Hahahaha,eti ana kunja misuli ili uzito uongezeke au? Click to expand... Tehe tehe tehe, hiyo kali kuliko
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 924 Feb 27, 2012 #15 Bangi itawaua
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 883 Reaction score 169 Feb 27, 2012 #16 hali zao taabani kabisa kabla hata hawajapanda ulingoni
MKUNGA JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 441 Reaction score 72 Feb 27, 2012 #17 Huyo mwingine mbona ana chuchu au ndio mikuku ya kisasa?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Feb 27, 2012 #18 OTIS said: Matumla chuchu saa 6 OTIS Click to expand... Unaweza kusema hivyo mbele yake??
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Feb 27, 2012 #19 Tuachieni mabondia wetu jamani,bila ya hawa basi boxing ndio hatuna tena.Na kwa wanaosema wamechoka sijui kama kuna hata mmoja mwenye uwezo wa kusimama na japo mmoja wa hawa jamaa japo kwa raundi tatu ulingoni..
Tuachieni mabondia wetu jamani,bila ya hawa basi boxing ndio hatuna tena.Na kwa wanaosema wamechoka sijui kama kuna hata mmoja mwenye uwezo wa kusimama na japo mmoja wa hawa jamaa japo kwa raundi tatu ulingoni..
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,511 Feb 27, 2012 #20 tuthamini vya kwetu jamani..mlitaka waweje zaidi ya hapo!