Mpinzani wa Mayweather

Mpinzani wa Mayweather

hawa mbona wamechoka hivyo??
 
Njaa mbaya sana..jamaa analia kwenye kupima uzito tu...ulingoni.
 
Ina maana kuna watu watalipa viingilio kuwaona hawa jamaa?
 
Duuh Rashidi kachoma mno, utafikiri hakuwa bingwa wa dunia. Kwelie Tanzania mwanamichezo akizeeka hana thamani Tanzania.
 
Hahahaha,eti ana kunja misuli ili uzito uongezeke au?
 
Huyo mwingine mbona ana chuchu au ndio mikuku ya kisasa?
 
Tuachieni mabondia wetu jamani,bila ya hawa basi boxing ndio hatuna tena.Na kwa wanaosema wamechoka sijui kama kuna hata mmoja mwenye uwezo wa kusimama na japo mmoja wa hawa jamaa japo kwa raundi tatu ulingoni..
 
tuthamini vya kwetu jamani..mlitaka waweje zaidi ya hapo!
 
Back
Top Bottom