johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,868
- 145,930
Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa
Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo mizigo
“Kwanini Serikali isiache utaratibu wa ajira kwa njia ya uteuzi ili kupata watu wenye uwezo ambao hawatiliwi mashaka, ajira ipatikane kwa njia ya ushindani iwe kwa viongozi, watendaji, Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na watendaji wengine Serikalini.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Paschal Katambi akajibu “Kwa sasa Katiba yetu ya Mwaka 1977 inaeleza mfumo wa uendeshaji wa Serikali na inatambua mifumo ya uteuzi na ushindani kulingana na nafasi zinazohitajika.”