Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

Kama ungechoka guts za kuandika umetoa wapi?

Sent from nokia Jeneza

Unafikiria kwa kutumia diesel au? Cheki vizuri inaezekana diesel imeisha ndo mana hata upeo wako wa kufikiri unakuwa mdogo
 
user-offline.png
Shekidodo
Miss una mambo wewe

Unafikiri masihala, mimi nilishawahi kufanya hivyo kuna mtu alinipenda sana ila mimi sikuwa nampenda so, nilikuwa namwambia azime taa, akiwasha tu nikamuona hapo hapo network inakata namwambia najisikia vibaya naomba tuache. kwa hiyo na wewe msikilize usije achwa bure, maana mimi wakwangu niliamua kumuacha japo aliumia sana lakini nikasema atapata anaempenda watapendana atanisahau.
 
Kwa hiyo atakua kafuata wallet sio?
 
Kwanza tuambie,kwanini wewe huwa unafumba macho mkiwa huko faragha then tutakupa jibu kwanini mwenzio anataka mzime taa.:biggrin1:
 
Kwanza tuambie,kwanini wewe huwa unafumba macho mkiwa huko faragha then tutakupa jibu kwanini mwenzio anataka mzime taa.:biggrin1:

Mimi sifumbi macho. Hua nakodoa mpaka dakika za nyongeza
 
Ingekua hivyo ningefurahi. Ila yeye hataki mwanga kabisaaaa.

Hahhaaaa Shekidodoacha kunichekesha bhana. Kati ya Mwanga na Papuchi yake kipi unapenda zaidi? Ikiwa unapenda mwanga basi piga chini uendelee na wengine wanaokubali taa kuwashwa wakati wa majambo. Ikiwa papuchi yake inakufaa zaidi piga chini mwanga, au basi uwe unagegeda mchana wakati kuna mwanga wa jua. Nadhani hapo utakuwa umefunga goli la kisigino
 
Last edited by a moderator:
kama ni mume basi anagovi na kama ni mke basi kakeketwa
 
Wonders shall never END...! Anaona aibu banaaa.
 
Habari zenu wana MMU.

Nina mpenzi wangu ni miezi 6 sasa nimekua nikimgegeda kwenye giza tuu hataki tufanye kwenye mwanga.. Kwa nini hili jamani?
Sasa unatuuliza sisi umeshindwa kumuuliza huyo mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom