SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 846
- 1,667
Habari za muda wana jamvi.straight kwenye mada nina mpenzi wangu anachangamoto ya ugonjwa wa HPV cjui ndo unaitwa saratani ya shingo ya kizazi na dalili zake ni kuvurugika kwa mzunguko wa damu na zingine n.k
Sasa akapatiwa chanjo lakini leo ametokw na damu nyini vibaya sana
Kwhyo wakuu naombeni msaada
Sasa akapatiwa chanjo lakini leo ametokw na damu nyini vibaya sana
Kwhyo wakuu naombeni msaada