Shekidodo hebu nikuulize swali kabla ya kukujibu. Kwa nini wewe unapenda kwenye mwanga? Ikiwa ndio hivyo yeye pia anapenda gizani!!!!!!!!!
Inawezekana kabisa akiwa gizani huwa anajisikia raha zaidi kuliko awapo kwenye mwanga, kama ilivyo kwako pia kwenye mwanga.
Kwa hiyo basi mwambie muwe mnapeana zamu, leo kwenye mwanga, kesho gizani ili ku-balance..........Tehetehetehe teheheheeeee!!!
Huyo ndio Mwafrika halisi, mambo hayo ni aibu, kwanini uwashe taa? Wewe uko kimagharibi zaidi. Ukipenda boga penda na ua lake!
HahahahahahaaaaaaSubiri tu nanihii yake ina meno hataki uyaone.siku ataimega dudu yako kama soseji.
Miss una mambo weweHakupendi akiwa gizani anavuta hisia za mtu anaempenda, akikuona wewe jinsi ulivyo network inakata, inawezekana unatisha au hakupendi tu kabisa.
Umenishawishi mkuuInategemea wala usitishike maana wangu mm hupendelea mwanga hafifu na slow music nami nafanya hivyo na hakuna cha mashine kuharibika wala nn......elewa kuwa mazingira yanachangia mwenzako kunyegeka....kama akikwambia hataki usipuuzie
wewe ni me au ke?
Siku moja msuprise akishasasambua uwashe hata tochi
usiache kuleta mrejesho
angalia usije ukawa unazini na pepo.
Mabinti wengi huwa wana aibu...
Wengine hudiriki mpaka kufumba macho kwa mikono ili tu msionane eye to eye....
Msikilize mpenzi wako.. Tafuta taa zenye mwanga hafifu kabisa,
hakikisha chumba kina mwanga wa kutosha..
Kula ushibe kabisa usije ukafia mgegedoni....
Thanks...
mbona taa zina joto kali? mtafanyaje kwenye taa, kwanza iyo taa ina ukubwa gani hadi muitumie? kwani hamna kitanda?
Habari zenu wana MMU.
Nina mpenzi wangu ni miezi 6 sasa nimekua nikimgegeda kwenye giza tuu hataki tufanye kwenye mwanga.. Kwa nini hili jamani?