Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

Hahhaaaa Shekidodoacha kunichekesha bhana. Kati ya Mwanga na Papuchi yake kipi unapenda zaidi? Ikiwa unapenda mwanga basi piga chini uendelee na wengine wanaokubali taa kuwashwa wakati wa majambo. Ikiwa papuchi yake inakufaa zaidi piga chini mwanga, au basi uwe unagegeda mchana wakati kuna mwanga wa jua. Nadhani hapo utakuwa umefunga goli la kisigino

Hahahaa.. Kwa hiyo niugegede mwanga mkuu? Mchana anadai joto ingawaje tunakutana kwenye lodge zenye full Ac.
 
Last edited by a moderator:
Sio kimagharibi mkuu. Nataka kumuona wakati tukifanya. Unajua wakati mwingine kunaongeza utamu wa tendo.

basi mfanye maridhiano kama wabunge wa bunge la katiba ili tofauti zilizopo mzimalize.
 
Aiseee ipo shida mahali... katikati ya gem kulupuka washa taa jifanye umetambaliwa na mdudu...
 
Hako ni katabia ka kawaida na wengi wamekaririshwa mapenzi yanafanywa baada ya tanesco kukata umeme.

Nilikuwaga na mpenzi yeye hakupenda kufanyia gizani yeye alitaka mwanga, ukizima taa tu mnagombana, lakini kadri mda ulivyo enda alizoea kufanya kwa hali yeyote ile, iwe giza au mwanga.

Huyo dada hataki uangalie uke wake 7bu anaona aibu na si ajabu huwa mnafanya staili moja/mbili mwanzo mwisho.
 
Aiseee ipo shida mahali... katikati ya gem kulupuka washa taa jifanye umetambaliwa na mdudu...

ha!ha!ahaa!.. Ukiongea ni rahisi sana ila kuacha kitu njiani ni ngumu mkuu.

Shekidodo..
Tafuta kitochi kidogo ukifiche halafu ukimvua tu unammulika maeneo uone yakoje huenda hana papuchi unapitisha kwenye mapaja tu daily..!
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!ahaa!.. Ukiongea ni rahisi sana ila kuacha kitu njiani ni ngumu mkuu.

Shekidodo..
Tafuta kitochi kidogo ukifiche halafu ukimvua tu unammulika maeneo uone yakoje huenda hana papuchi unapitisha kwenye mapaja tu daily..!

Teheeee usimtishe mwenzio bwana puchi ipo hiyo
 
Last edited by a moderator:
Anaogopa dushe lako,,, si unajua hayanaga sura nzuri japo yanatoa utamu.
 
angalia hasije akawa na viungo viwili,,uzubae na yeye akugeuze
 
kwanza kama unamkata mazingira ya chabo kama ma hostel ((itakua mwanafunzi wewe thread inajieleza:biggrin1🙂) ndo sababu
pili kama ana tatoo ya njemba iliyombongonyoa kisawa sawa hataki uone
tatu anakua na k mbaya iliyotokwa mashavu yakudondoka
nne all the above
 
inaelekea ww nae unapenda ndo maana unafanyia gizani. alafu huna adabu kweli coz swali la kumuliza mpenzi wako unatuuliza sisi kua na adabu bana
 
Uzinzi ni dhambi,na dhambi ni uasi,na mshahara wa dhambi ni mauti!
Fuata kanuni za Mungu,usilale na mwanamke asiye mkeo,oa kwanza kisha ngono ifuate.
 
Hata mm ilishanikuta lakini nikawa na wasiwasi sana kwanini afanye hvyo??katika kuchezea kitumbua chake nikazamisha kidole nikazurura huko kma dakika tano.Kabla hatujaanza nikaenda toi kumulika vidole nikakuta dam kibao,ham ya tendo ilikwisha palepale.
 
Kwa sababu mnazini dhambi hupenda giza,

Mkuu Jawilat umeniwahi nilitaka kusema hivyo hivyo. Mtu anazini halafu anataka mwanga wakati zinaa ni tendo la giza.
 
Back
Top Bottom