Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?

Kuokoka sio dini mpya, ndilo agizo aliloacha Bwana Yesu. Bila kuokoka hakuna Mbingu hata ungekuwa na dini ya kukesha kwenye nyumba ya ibada.
 
Kila mwenye pumzi na amsifu bwana Yesu mwana wa Mungu...haleluya!
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?

Kaka mpe hongera kwa yeye kujitambua mapema maana dunia ya sasa haifai tena inatupasa kumrudia Muumba wetu mapema kabla nyakati mbaya hazijawadia.
 
Mchungaji kashakuzidi kete,atakuwa anamega yeye kimyakimya stuka wewe,fanya uchunguzi,kama anasali kwa mwingira ndo kabisa hesabu maumivu.
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?
Unajua watu hawajakwambia kuwa umeuliza maswali ya kitoto?
Hivi hii research umefanyia wapi?
yani mtu kaokoka alaf we unauliza yamemsibu nini?
hivi kuokoka ni dhambi?

Alaf mbona uko concern sana na mambo ya ex wako?you want her back?
 
amejitambua boss, nampongeza Sana kwa uamuzi WA hekima na busara aliochukua
 
Kuokoka sawa na hainihusu kuokoka kwake ni yeye na mungu wake,ila tunakutana na wadada wengi hapa mjini wameokoka ila nyuma ya pazia ni balaa.

sasa na huyu x wako unamtegemea awe kundi hilo? Pole, si ajabu hutakaa umwone tena
 
Kuokoka ndio mpango mzima hata mm nimeokoka,ila wadada wengi wanajifanya wameokoa wanatafuta kuolewa hawana jipya kama hujui utaingia mkenge kuna jamaa alioa bila kujua kumbe demu alikuwa kimeo balaa katoa mimba hazihesabiki mpaka kesho no a baby girl or a baby boy
 
Mungu anasema hivi;lakini sasa nirudieni mimi kwa mioyo yote ziachen njia zenu zote mbaya.na jinsi ilivyo mbali kati ya mashariki na magharibi ndivyo dhambi zenu zitakavyo kuwa.na dhambi zenu zinapozidi na nyekundu kama damu nitazifanya nyeupe kama theluji.na na kwa Mungu inakuwa furaha kwa mmoja anapotubu na kumrudia Mungu kuliko wengi wanaojifanya wana haki.huyo dada Mungu amsaidie kwa maana amechagua njia ilio ya haki.
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?

Kakunyima mgegedo unakimbilia huku kulalamika? Unafikiri hayo yote ya dunia mliyofanya ni madogo? Kuokoka inamaana amekuwa transformed kutoka kwenye hayo ya dunia mliyoyafanya.
 
Wewe Ex wako kapima kakutwa na u.k.a.p.u.y.a. kaamua ajipendekeze kwa Mola wake.
 
Hiyo ndo fashen mpya kwa wadada na wamama,tegemea iende hadi miaka kumi mbele,itatoweka yenyewe.maana watakua wameshachoka kumsubiri huyo wanaemsubiria.

Kuokoka ni kukubali na kuamini ya kuwa Bwana Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako. Kwa hiyo amekulipia deni lako la dhambi na kukufanya uwe mtakatifu. Naye atakuhakikishia uzima wa milele. Sasa kama hujafanya hivyo "I can't wait to see you burning in the lake of fire!". Mimi nina uhakika 100% naenda mbinguni. Over
 
Kakunyima mgegedo unakimbilia huku kulalamika? Unafikiri hayo yote ya dunia mliyofanya ni madogo? Kuokoka inamaana amekuwa transformed kutoka kwenye hayo ya dunia mliyoyafanya.
Hajaninyima mgegedo,dah kaka ama dada na mimi basi naokoka wacha nijue nafanya uzinzi halafu nitaokoka,ukitaka kuyajua ya binadamu utakimbia,naishia hapo
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?
kuokoka ni kuzuri kuliko vyote nawe inabidi umwamini yesu umkiri kwa kinywa chako
 
Unajua watu hawajakwambia kuwa umeuliza maswali ya kitoto?
Hivi hii research umefanyia wapi?
yani mtu kaokoka alaf we unauliza yamemsibu nini?
hivi kuokoka ni dhambi?

Alaf mbona uko concern sana na mambo ya ex wako?you want her back?
No i dont want her back.wacha nikwambie kwa zunguka,wacha nifanye madhambi halafu naokoka karibuni.
 
Back
Top Bottom