Vitabu vya dini ni mkusanyiko wa maandiko ya kale kuhusiana na eneo hilo maalumu na maisha ya viumbe wa awali halali wa eneo hilo.
Maandiko hayo ya kale yalieleza wazi na hatua za moja kwa moja ili jambo flani kuwa bayana.
Vitabu vya dini sasa vimeandika kwa usahihi mkubwa sana maadili ya kiroho kutokana na maisha ya watu wa kiroho muhimu wa eneo takatifu zaidi kwenye sayari kiumbe dunia.
Vitabu vya dini vimeandika simulizi pekee tofauti na maandiko ya kale yaliweka wazi maadili, sheria na kanuni za kiroho. Na hata jinsi na namna ya kudhihilika kwa jambo flani.
Simulizi kwa maana ya uwazi wa kudhilika haupo kwenye vitabu hivyo.
Watawala wa kidunia walio chapisha vitabu vya dini kutokana na maandiko ya kale, wamebakia na uwazi ule kutoka kwenye maandika mbalimbali ya watu wa kale.
Uwazi huo umepewa jina lingine katika maisha ya sasa kuwa ni sayansi na teknolojia.
Wengine sasa wanadai matoleo ya vitabu vya dini kutofautiana jambo linalo leta wasiwasi wa nia isiyo njema ya walio chapisha vitabu hivyo kwa umma wa watu wa duniani kuwa huenda walikuwa na nia isiyo njema kulenga fikra na mitazamo kwa umma wa watu.
Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Lakini pia ni ukweli kwamba uongo mgumu kugundulika ni ule unao tokana na ukweli.
Mfano: mtu mmoja anaweza kufahamu kuwa kuna mti flani ukiwekwa kwenye kinywaji kama maji unaweza kukamata mtu mwenye hatia flani hata kama amegoma ikiwa alishukiwa bila ushahidi.
Kweli ya habari ya mti huu inaweza kuwa ngumu kuelewa kutokana mtu huyo ameeleza kama simulizi lakini mtu akieleza kwa kuweka uwazi kwa maana ya kutaja jina la mti , unapo patikana na maadili ya huo mti ili kazi yake iende sawasawa, na kwa hivyo mtu anaweza hata kujaribu alicho elezwa.
Tofauti na vitabu vya dini havija weka wazi habari yoyote zaidi kusimulia na kusisitiza maadili yaliyo mema.
Hii ya kutokuwepo kwa uwazi ndio huo wasiwasi wa watu kuhusu habari za kiroho zinazo elezwa na vitabu vya dini na baadhi ya watu wa dini. Hivyo vitabu vya dini vinakweli kwa kiwango kikubwa sana, tafsri za watu ndio za kila aina kwa watu mbalimbali.