Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

Mpenzi wangu wa zamani kaokoka

yeye alikupenda kwa moyo wote kumbe wewe ulikuwa kibaka. Yawezekana umemuambukiza ata magonjwa ya zinaa,hivyo kaamua kumrudia mungu. Koma kumfuatafuata
 
yeye alikupenda kwa moyo wote kumbe wewe ulikuwa kibaka. Yawezekana umemuambukiza ata magonjwa ya zinaa,hivyo kaamua kumrudia mungu. Koma kumfuatafuata
haya kaka wacha nikubaliane na wewe,sawa
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?

Tuanze na huyo aliyekuwa mpenzi wako kwanza,yeye nini kilimsibu?
Kama hujamuuliza fanya hivyo halafu utuletee jibu tafadhali.
 
Tuanze na huyo aliyekuwa mpenzi wako kwanza,yeye nini kilimsibu?
Kama hujamuuliza fanya hivyo halafu utuletee jibu tafadhali.
Swali zuri.naomba nikujibu basi No comment!natumaini utakuwa umenipata.
 
Huwezi kusema umeokoka wakati bado uko duniani na shetani yupo.Yesu alikufa msalabani ili aaminiye apate kuokolewa.Hakuna binadamu asiekosa dhambi.
Nyie ndo mnaosoma nyuma ya Biblia. Wewe wa wapi? Huyo nabii anaewasalisha. Atahuwa kajitengenezea biblia yake!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
No i dont want her back.wacha nikwambie kwa zunguka,wacha nifanye madhambi halafu naokoka karibuni.

Kumbe unaelewa kuwa kuokoka ni kuwa kinyume na madhambi? Sasa mbona unauliza kilichomsibu huyo X wako, kaona madhambi yamezidi.
 
Kumbe unaelewa kuwa kuokoka ni kuwa kinyume na madhambi? Sasa mbona unauliza kilichomsibu huyo X wako, kaona madhambi yamezidi.
Yaani siamini kiumbe kama yeye anaweza kuokoka,maana nilikuwa nikipiga Vodka zangu kavu kavu yeye ni whisky na coke,amarula wine.napunguza makali mengine
 
Yaani siamini kiumbe kama yeye anaweza kuokoka,maana nilikuwa nikipiga Vodka zangu kavu kavu yeye ni whisky na coke,amarula wine.napunguza makali mengine

Kwani unafikiri wokovu ni kw ajili ya watu wema? Hapana, ni kwa ajiri ya wenye dhambi tena zaidi ya hizo.
 
Wana JF nina swali hivi hii kasi ya kina dada wa leo kuokoka katika mji wetu huu wa Dar ni nini?mimi nilikuwa na mpenzi wangu tumefanya naye yote duniani yaani sio mabaya ila kwa mfano kinywaji na mengineyo ya kidunia,nashangaa kaniambia kaokoka na sikutegemea mtu kama yeye,je ni ni kinawasibu hawa dada zetu kwenda kwenye hizi dini zetu mpya?
Na wewe unakaribia kuokoka! To GOD BE THE GLORY!
 
Mnawatenda mno mwishowe wanaamua kuja kwa Bwana Yesu wapate amani ya kweli unakuta jitu limetoa mimacho nakupenda dia huku linadondosha udenda tamaa tu hakuna cha upendo.
 
Kuokoka sawa na hainihusu kuokoka kwake ni yeye na mungu wake,ila tunakutana na wadada wengi hapa mjini wameokoka ila nyuma ya pazia ni balaa.

Hao wanakua hawajaokoka mkuu.
 
Hao wanakua hawajaokoka mkuu.
Mkuu acha tu niliipunguza makali tu,mtu 39yrs old huna mtoto,huna ndoa,ulishatembea na waume za watu mwisho wa siku inabidi uvae ngozi ya chui.
 
Back
Top Bottom