Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria sana nimeona ni ujinga kwasababu siwezi kuvumilia nikisubiri kupita ndani kwa muda wote huo pia siwezi kutumia fedha zangu kufunga harusi ya mamilioni na mtu ambaye ameninyima Valve
Lengo langu lilikua moja tu anipe Valve nijaze upepo na niende kwa wazazi wake hata leo nipo tayari ila yeye ndiye