Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri juu ya jambo hili; Week mbili tangu nikutane na huyu binti na nimekuwa naye kwa mahusiano na tumeshaanza kutambuana kikubwa tayari.

Sasa kinachonishangaza ni kuwa kwa mara ya kwanza kunipa penzi lake alinipa Anal sex tena Wala sikujua kama ameingiza huko ila nikajua amefanya hivyo kwa kuwa anataka kuniaminisha upendo wake kwangu.

Ila naona jana tena amenipa upande huo huo na wala halalamiki maumivu na huwa hataki tubadili aina hiyo ya Sex.

Sasa nataka kufaham hapa wanaJF je kwanza madhara ya Anal Sex kwangu na kwake pia na je nawezaje kumshawishi kuacha hiyo style kwani ni bint mdogo wa miaka 20yrs na yuko Chuo cha kati kati ya Jiji hapa Dar.

Ananipenda namimi nampenda kweli kweli ila naona kama ataharibikiwa na mimi pia Kiafya imekaaje?

Naombeni ushauri pls....
 
Back
Top Bottom