Mpenzi wangu mlokole ananichanganya na tabia zake

Mkuu mchungaji anakufukuzia na panga huku unaandika?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole Sana naona umevurugwa Hadi uandishi wako umevurugika haya mapenzi yanatesa watu kweli kweli.
 
Ukiona manyoya ujue mchungaji kishamvua picchu. Akili mkichwa Mkuu au yatakuwa yale yale ya Mama Chibu na Mzee Abdul.
Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole ......
. . ... anamheshimu sana mchungaji wake .....kuriko.... mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya....... yule.... mchimgaji..... noana kama ...ananigongea mke..... anaona mchungani bora ... kuriko... mimi ........ jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana. [emoji24][emoji24][emoji24]

Kweli ndugu umevurugwa. Bahati mbaya akili yako imefungwa.
 
Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
Hiyo ni dhahiri unagongewa
 
Ni vizuri ukaongea naye kwa kina asipobadilika utachukua maamuzi kutokana na moyo wako unavyokutuma.
 
Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
Mara useme ni mpenzi wako unatarajia kufunga nae ndoa ,mara useme hakuheshimu wewe mumewe,something must be wrong somewhere...
 
Unamhisi Mchungaji?Unapata dhambi,- si kweli Mchungaji hamgongi kabisa huyo dada.
Nikupe siri, huyo ni 'Chakula' ya Mpiga Kinanda.
Ingawa hata dogo wa Drums kampitia pia.

Ila, sema kwa sauti ueleweke, huyu dada ni Mchumba wako au ni Demu wako?
Maana umekoroga mambo hapo hadi hueleweki.
 
Back
Top Bottom