Watu wengi walokole ndio Tabia zao hizo . Ila wanawake ndio walivyo kabisa. Wanashindwa kutenganisha mume na mchungaji yupo radhi atekeleze malengo ya mchungaji sio mume wake. Kuna challenge kubwa kuishi nao sio mchezoHabari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
Kama mlikutana church unadhani itakua rahisi kumtoa kwenye Imani yake?Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]
tatizo ni kwamba aniheshimu mimi mchumba wake badala yake anaweka kanisa mbele kuriko mimi mumewe inanipa wasiwasi maana hawa wachungaji wetu nao sio poaMkuu kwa uandishi huo mbona kama wewe ndio tatizo? mbona umeshindwa kueleza nini ni tatizo? nini anafanya? kwani ulimchumbia akiwa siyo mlokole? andika vyema jambo lako ili tuweze shauri vizuri ,
ntamnyoosha tu wait tuingie kwenye ndoaWatu wengi walokole ndio Tabia zao hizo . Ila wanawake ndio walivyo kabisa. Wanashindwa kutenganisha mume na mchungaji yupo radhi atekeleze malengo ya mchungaji sio mume wake. Kuna challenge kubwa kuishi nao sio mchezo
Mambo gani amekufanyia huja yaweka wa ili tujue tuweze kukupa ushauriHabari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana. [emoji24][emoji24][emoji24]