Mpenzi wangu kanizidi umri

Mpenzi wangu kanizidi umri

Ahhh kumbe hujawai kumwona bi Matola???? Shemeji yake anakasirika wanja na powder za mkewe (dadake matola) anazimaliza matola
Toto la Bukoba Asha Mohamed...teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
kwani wakati wa kunanii huwa unaliona hilo la umri au ni kwa mkichwa tu
 
Mambo kuna majukwaa kule mapya kachungulie basi hata uchangie kidogo maana yamekosa soko kabisaa

nimeyaona yamekuja bila hata ya taarifa,hata sijui topic gani zinabidi ziwekwe kule.
Haya yaliyopo tu yananishinda labda hayo yanisubiri mpk mwakani.
 
kwani wakati wa kunanii huwa unaliona hilo la umri au ni kwa mkichwa tu

mapenzi sio kunanihii tu,hiyo ni stage ya mwisho kabisa katika mapenzi baada ya kumwamini mwenza wako so umeamua kumkabidhi mwili wako aufanye anachotaka...ni kumuonyesha jinsi gani unamjali,mthamini na kumuamini.
 
mwanamke akikuzidi umri juwa amekuzidi kila kitu huu ndio ukweli. utaki unaacha.
Huo ndo ukweli,niliwahi kusoma kitabu kimoja wanasema mwanamke ana akili ya miaka miwili mbele zaidi ya mwanaume kwa hiyo kama umri mko sawa ujue amekuzidi miaka miwili sembuse akikuzidi? niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyenizidi miaka miwili kiukweli alikuwa ananipenda ila alikuwa anatoa order to as if yeye ndo controller
 
Wewe andika kiswahili kila siku nakuambia kingereza unakipenda lakini chenyewe akikupendi.

Wewe mbele ya wanaume uwe unakaa kimya ungekuwa mjanja ungekaa kwa mdogo wako wa kike, Koku, segerea, amekutoa Bukoba Kashai, hata kutembea hauwezi vidole vyote vimeliwa na funza.

Utaendelea kulinda nyumba ya shemeji yako na kupeleka watoto shule siku bwa shemeji akikasirika anawafukuza wote kauzu wewe.

Another mediocre in village circus.
 
As always muttonhead is puking his nincompoop words with lots of ninny on it!

Teh teh teh teh!
Nafarijika sana nikiona wafuasi wa Gaidi mwamedi wakiipenda hii lugha ya kikristo na kuitelekeza lugha ya Allah anayeswali.
 
Nafarijika sana nikiona wafuasi wa Gaidi mwamedi wakiipenda hii lugha ya kikristo na kuitelekeza lugha ya Allah anayeswali.
-
You are such a ignoramus imbecile, jerk, and a moron,who doesn't even know the language of you Savior? ?

Aramaic Language: The Language of Christ
http://www.mountlebanon.org/aramaiclanguage.html

I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan.-Revelation 2:9 Matola is one of them!

English is Christian language my foot!!
Teh teh teh!

You really are mbulula .com/moronmatola
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana JF mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyoni kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakini yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuishi kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naombeni mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzidi umri mke!
Age aint nothing we cha kufanya kama mnapendana endeleeni na mipango ya ndoa bwana,kuna kigezo gani ambacho umekitumia kuhalalisha mme anatakiwa kua aged than mke acha mila za akina kinjekitile mkuu
 
-
You are such a ignoramus imbecile, jerk, and a moron,who doesn't even know the language of you Savior? ?

Aramaic Language: The Language of Christ
Aramaic Language: The Language of Christ

I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan.-Revelation 2:9 Matola is one of them!

English is Christian language my foot!!
Teh teh teh!

You really are mbulula .com/moronmatola
Ok Satan fellowship lets say Uingereza ni Taifa la kiislamu na dini yao rasmi ni ya kigaidi islamic.
 
Last edited by a moderator:
Si lazima mme amzidi mke umri kama ulivyo conclude japo imezoeleka hivyo katika jamii.Lakini kwanini ulimdanganya kama unampenda kweli?

Mwambie ukweli tu,na kama atakubaliana na huo ukweli na bado mkaendelea kupendana sidhani kama umri ni kigezo kikubwa.

Nakubaliana na maelezo yako! hata mimi girlfriend wangu kanizidi miezi lakini tunaelewana vizuri sana...umenena vyema kwakweli.
 
Jifunze kuwa mkweli wakati wote.

Kama umri ilikuwa kigezo kwa mwenzi wako pindi mnatongozana basi jiandae kwa amuzi lolote toka kwake.
 
-
You are such a ignoramus imbecile, jerk, and a moron,who doesn't even know the language of you Savior? ?

Aramaic Language: The Language of Christ
Aramaic Language: The Language of Christ

I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan.-Revelation 2:9 Matola is one of them!

English is Christian language my foot!!
Teh teh teh!

You really are mbulula .com/moronmatola

Ahahah ahahaha! am gonna puke,hahahah! that was just just just superb lol,that meniac got no brains i tell ya! hahah how can you say English is a christian language!? haah for the love of pete,he lost his bearings...Oh my ribs.
 
Last edited by a moderator:
Daaa!!!! Bora umeomba ushauri ndugu yangu. Kwanza kabisa nikupe uzoefu wangu ktk mahusiano niliyo pitia mpenzi wangu wa kwanza kabisa alikua na watoto watatu umri wake sijui na mm nilikua na miaka 19 yrs lkn tukiingia kwenye 6x6 naheshimika kuliko kawaida labda sababu ya maumbile yangu kuanzi mwili mpaka nk. mpenzi wa pili sikumbuki wala wa tatu kwani nilimzid age, nikiwa na miaka 23 historia ikajirudia japo tofauti ya umri ilikua mm 23 mpenzi wangu wa kike 26 wengine hapa katikati siwakumbuki mpenzi wa mwisho kabra sijaoa ilikua mm 28 yy 32 japo tukisimama namzidi na anaenjoy kusimama na kuongozana na mm kumbuka huko niliko toka mna wanafunzi wake za watu watoto wa get nk na kwasasa nimeowa nina miezi miwil na wala mpenzi wangu wa mwisho hajui nashindwa nimuambieje ili kuepusha madhara. Kuhusu mke wangu kipenzi ana umri wa miaka 23 na mm 29 kasoro ninachofurahia ananipenda na ni rahis kumwendesha kwan nimemzid age pili nimedum nae kama miaka miwil kabla sijamuoa. USIONGOZWE NA TAMAA NDOA HIYO SIO SAIZI YAKO MKIZOEANA HAUTOIPENDA NDOA YAKO KWAN UTAHISI ANAKUDHARAU HATA KAMA NI MAKOSA YA KAWAIDA KIMAISHA.
 
umri sio tatizo kama kwel mnapendana,kuwa muwaz bhana isije leta tatizo baadae,mbona me nina 21 lakn natembea na mwanaume 14,namuita ivo coz anajua meng on bed.
huyu wa miaka 14 ni mmojawapo wa wale wawili waliishindwa kukukojolesha? Au ni toleo jipya? Vipi yule shosti wako hajakunyonya tena ki.si.mi au umefanikiwa kumshinda pepo wa usagaji? Naona sasa pepo la ubakaji ndo limekuteka
 
Nakubaliana na maelezo yako! hata mimi girlfriend wangu kanizidi miezi lakini tunaelewana vizuri sana...umenena vyema kwakweli.
Jinga wewe endelea kujifariji kana kwamba wasichana hakuna na hawazaliwi tena. hakuna hoja yoyote ya kuhalalisha mwanamke akuzidi umri huu ni uzuzu kupita maelezo.
 
Ok Satan fellowship lets say Uingereza ni Taifa la kiislamu na dini yao rasmi ni ya kigaidi islamic.

Teh teh teh teh!

Umechemka!

We elimu huna, lkn domo refu kama muimba taarabu!

Bloody cucumber!
 
Back
Top Bottom